Wakenya waiuliza Google kuhusu Corona Tanzania

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Kampuni ya Google imetoa orodha ya maneno yaliyotafutwa zaidi katika nchi mbalimbali duniani mwaka 2020 ikiwemo Kenya.

Orodha hiyo sio tu imeonesha mwelekeo unaopendelewa zaidi katika miezi 12 iliyopita, bali pia imeweka bayana matukio makubwa zaidi katika habari, siasa, michezo, burudani na mwelekezo wa mtindo.

Ifuatayo ni orodha ya maneno kumi yaliyotafutwa zaidi nchini Kenya mwaka 2020:

1. English Premier League
2. US elections
3. Thank you coronavirus helpers
4. Coronavirus in Kenya
5. Schools reopening in Kenya
6. Tanzania coronavirus
7. Boris Johnson
8. Coronavirus in Italy
9. Waiguru impeachment
10. London marathon
 
Bongo hapa tutaaibika, maana xvideos isije ikashika namba moja tu
Xvideos, Pornhub huwa zipo karibu kila nchi, Google huwa hawatoi coverage ya sites kama hizo.

Google daily searches za wabongo.
 
Attachments

  • Screenshot_20201215-120633.png
    Screenshot_20201215-120633.png
    12.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201215-120626.png
    Screenshot_20201215-120626.png
    12.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201215-120619.png
    Screenshot_20201215-120619.png
    12.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201215-120613.png
    Screenshot_20201215-120613.png
    13.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201215-120607.png
    Screenshot_20201215-120607.png
    11.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201215-120559.png
    Screenshot_20201215-120559.png
    12.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201215-120552.png
    Screenshot_20201215-120552.png
    22 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201215-120552.png
    Screenshot_20201215-120552.png
    22 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201215-120538.png
    Screenshot_20201215-120538.png
    12 KB · Views: 1
Hata yale mafuamafua yametokomea hakuna mitaani,wakenya wanaiuliza google corona tanzania ili wapate cha kuisema vibaya tanzania
Usiichukulie hivyo jirani, sio kwa ubaya. Tunaulizia kwasababu tunajivunia sana kuwa na majirani wa kipekee kama nyinyi. Hapo awali ilikuwa ni nchi mbili tu duniani ambazo hazikuwa na Corona, N.Korea kwa Kim Jong Un na Tz kwa Jiwe. Sasa hivi imebakia tu Tz, hongereni sanaaa majirani. Afrika Mashariki hoyeee! 😎
2630442_701437569.jpg
 
Kwahiyo Jiwe kamzidi mpaka Kim kwenye kuhoka data
 
Th
Usiichukulie hivyo jirani, sio kwa ubaya. Tunaulizia kwasababu tunajivunia sana kuwa na majirani wa kipekee kama nyinyi. Hapo awali ilikuwa ni nchi mbili tu duniani ambazo hazikuwa na Corona, N.Korea kwa Kim Jong Un na Tz kwa Jiwe. Sasa hivi imebakia tu Tz, hongereni sanaaa majirani. Afrika Mashariki hoyeee! 😎
2630442_701437569.jpg
TZ is the mad country on earth!😬😬😬
 
Usiichukulie hivyo jirani, sio kwa ubaya. Tunaulizia kwasababu tunajivunia sana kuwa na majirani wa kipekee kama nyinyi. Hapo awali ilikuwa ni nchi mbili tu duniani ambazo hazikuwa na Corona, N.Korea kwa Kim Jong Un na Tz kwa Jiwe. Sasa hivi imebakia tu Tz, hongereni sanaaa majirani. Afrika Mashariki hoyeee! 😎
2630442_701437569.jpg
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]nchi ya ahadi.
 
Usiichukulie hivyo jirani, sio kwa ubaya. Tunaulizia kwasababu tunajivunia sana kuwa na majirani wa kipekee kama nyinyi. Hapo awali ilikuwa ni nchi mbili tu duniani ambazo hazikuwa na Corona, N.Korea kwa Kim Jong Un na Tz kwa Jiwe. Sasa hivi imebakia tu Tz, hongereni sanaaa majirani. Afrika Mashariki hoyeee! 😎
2630442_701437569.jpg

Siyo N. Korea na Tanzania, bali ni Western Sahara na Tanzania.

Usiichukulie hivyo jirani, sio kwa ubaya. Tunaulizia kwasababu tunajivunia sana kuwa na majirani wa kipekee kama nyinyi. Hapo awali ilikuwa ni nchi mbili tu duniani ambazo hazikuwa na Corona, N.Korea kwa Kim Jong Un na Tz kwa Jiwe. Sasa hivi imebakia tu Tz, hongereni sanaaa majirani. Afrika Mashariki hoyeee! 😎
2630442_701437569.jpg
Huyo anaitwa Kim Jong Jiwe. Yaani hardcore kushinda Kim Jong Un
 
Back
Top Bottom