Zile siyo FEDHA za kupambana na Corona, bali ni FEDHA za kupambana na athari za korona ambazo si clinical. Yule mbunge domo kubwa hana analilijua, kazi kubwatuka tu bila kuelewa.
Ni nchi ipi ambayo haisikilizii maumivu ya korona? Kuna kipindi kirefu tu, anga lilifungwa, utalii umeshuka, biashara zimezorota, n.k.
Tanzania na Afrika kwa ujumla hazikupata maafa makubwa ya kiafya (less clinical fatalities), lakini kiuchumi, kifedha, kibiashara, n.k. imeathirika sana. Hivyo, hiyo stimulus package inahitajika kwa kila nchi.