Wakenya waiuliza Google kuhusu Corona Tanzania

Wakenya waiuliza Google kuhusu Corona Tanzania

mgonjwa wa corona anapitia hatua zipi kabla ya kufariki???

au unamaanisha watu kufa wakiwa na corona?
Wewe ndiye umesema ya kwamba watu wanaambukizana lakini hawafi kwa Corona,ndiyo nikakuuliza umejuaje ya kwamba hakuna wanaokufa kwa Corona?
 
Sasa hiyo proportionality ndiyo tunapaswa kuipima ili tujue Corona ipo kwa kias gani.Lakini kwa bahati mbaya tumekuwa majuha na kuitangazia dunia ya kwamba Corona haipo kwa sababu imeondolewa kwa maombi ya siku tatu kitu ambacho mtu mwenye akili timamu ni lazima awe na wasiwasi na uongozi wa nchi ya kwamba ni machizi au!

Mambo ya kupima ni kutaka kukuza mambo.
Unafanyia kazi kitu ambacho kimefikia kuwa hatua ya kuwa changamoto. Kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla wake, Covid 19 siyo serious clinical issue ambayo utatakiwa ku deploy a lot of resources to get rid of it. Hata tukisema tupime na kutangaza, hakuna kitu kitakachobadirika. Hata research zikifanyika, itakuwa you are researching on obvious. Nothing tangible will be unveiled.
Nimeona kwenye TV nyingi za Tanzania wanatoa mafunzo kwa njia nzuri ambayo siyo ya kuogopesha.
 
Kwa nchi makini kwa nini usubiri hadi mzee ambae tunajua ni vigumu kupona aambukizwe corona?Kwa nini tusizuie kwenye chanzo kimojawapo ambacho ni hawa wenye corona bila dalili ambao ndiyo wanaambukiza hawa wazee?
kama umesahau corona ni ugonjwa wa mlipuko labda nikukumbushe.

hizo hatua unazozungumzia hazina maana tena kwa sasa.
 
Wewe ndiye umesema ya kwamba watu wanaambukizana lakini hawafi kwa Corona,ndiyo nikakuuliza umejuaje ya kwamba hakuna wanaokufa kwa Corona?
ndio sababu namimi nikakuuliza,hatua zipi mgonjwa wa corona hupitia kabla ya kufariki kabisa,hujajibu.

inawezekana unadhani corona inaua kama pressure.
corona inaua kwa mateso kijana,wala usingesubiri jiwe aje akwambie ndipo ujue kuna watu wanakufa kwayo.
 
kama umesahau corona ni ugonjwa wa mlipuko labda nikukumbushe.

hizo hatua unazozungumzia hazina maana tena kwa sasa.
Kama hatua ninazozizungumzia hazina maana tena kwa sasa,Je Tanzania tunachukua hatua zilizo za maana kwa sasa?
 
Kama hatua ninazozizungumzia hazina maana tena kwa sasa,Je Tanzania tunachukua hatua zilizo za maana kwa sasa?
hakuna hatua yoyote,haivaliwi barakoa wala sanitizer hazipakwi tena,gari zinajaza,na mikusanyiko inaendelea mwezi wa 3 huu sasa.

corona imelala inaishi vichakani siku hizi!!!
 
ndio sababu namimi nikakuuliza,hatua zipi mgonjwa wa corona hupitia kabla ya kufariki kabisa,hujajibu.

inawezekana unadhani corona inaua kama pressure.
corona inaua kwa mateso kijana,wala usingesubiri jiwe aje akwambie ndipo ujue kuna watu wanakufa kwayo.
Kwani hakuna mogonjwa mengine yanayoua kwa mateso?Ina maana kila anaekufa kwa mateso kwenye hayo magonjwa mengine nina taarifa zao!
 
hakuna hatua yoyote,haivaliwi barakoa wala sanitizer hazipakwi tena,gari zinajaza,na mikusanyiko inaendelea mwezi wa 3 huu sasa.

corona imelala inaishi vichakani siku hizi!!!
Swali langu bado ni lile lile,kama Corona haipo kama unavyojinadi ya kwamba ipo vichakani ni kigezo gani umetumia ukajua haipo?
 
Kwani hakuna mogonjwa mengine yanayoua kwa mateso?Ina maana kila anaekufa kwa mateso kwenye hayo magonjwa mengine nina taarifa zao!
hata anayekufa kwa kuumwa kichaa anateseka pia.

ila corona ni apecial case kama hujui,mgonjwa nakohoa kwa tabu akihangaika,kitu ambacho huhitaji kuambiwa huyu anaumwa corona hasa msimu huu wa uvamizi wa gonjwa lenyewe.
 
Swali langu bado ni lile lile,kama Corona haipo kama unavyojinadi ya kwamba ipo vichakani ni kigezo gani umetumia ukajua haipo?
ni kwamba hutaki jibu,na una jibu lako kwenye kimemo mfukoni.

corona haipo,maana corona si mzimu ni ugonjwa ule,tena wa uvamizi.
 
Wewe ndiye umesema ya kwamba watu wanaambukizana lakini hawafi kwa Corona,ndiyo nikakuuliza umejuaje ya kwamba hakuna wanaokufa kwa Corona?
2498141_FB_IMG_15984302480261467.jpg
 
ni kwamba hutaki jibu,na una jibu lako kwenye kimemo mfukoni.

corona haipo,maana corona si mzimu ni ugonjwa ule,tena wa uvamizi.
Kwa hiyo ungepata nafasi ya kuhutubia pale UN kuwa toa hoja ya kwamba Tanzania hakuna Corona, hilo ndiyo jibu ungewapa?
 
Unaelewa kuwa mtu anaweza kuwa na virusi vya Corona na wala asionyeshe dalili yoyote ile hadi anapona?Unaelewa kuwa mtu kama huyu anaweza kuambukiza watu maelfu na mamia kati yao wakafa?Unaelewa kuwa ni muhimu kupima kila mtu ili kugundua watu kama hawa ambao wana virusi vya Corona lakini hawaonyeshi dalili yoyote ile ili watu wa namna hii wachukue hatua wasiambukize watu wengine?
Mbona hakuna nchi inayopima watu wote wenye maambukizi ya Ukimwi ili wasiambukize wengine kwa kutojua kwamba wana Ukimwi?
 
Back
Top Bottom