Wakenya waiuliza Google kuhusu Corona Tanzania

Wakenya waiuliza Google kuhusu Corona Tanzania

Unaelewa kuwa mtu anaweza kuwa na virusi vya Corona na wala asionyeshe dalili yoyote ile hadi anapona?Unaelewa kuwa mtu kama huyu anaweza kuambukiza watu maelfu na mamia kati yao wakafa?Unaelewa kuwa ni muhimu kupima kila mtu ili kugundua watu kama hawa ambao wana virusi vya Corona lakini hawaonyeshi dalili yoyote ile ili watu wa namna hii wachukue hatua wasiambukize watu wengine?
Umeshaambiwa chukua tahadhali corona ipo na inaambukizwa na ukiona dalili moja mbili,chukua marimao na tangawizi fukiza.
baada ya hapo ni kweli hatusikii watu wakianguka barabarani.

Nini tena mnataka kamati ya roho mbaya!
 
Binafsi nikiongea na ndg zangu, marafiki na jamaa hawaongelei kuhusu kifo, kuuguza au wenyewe kuumwa. Hivyo hali ni kawaida. Lkn pia nina marafiki wataalam wa clinical issues. Nao nikiwauliza wanasema for a couple of weeks, there were no serious cases reported.
Hiyo ni slight observation of me.
Duniani kote haupo utaalam wa kuchunguza uwepo pamoja na athari za ugonjwa fulani katika nchi kwa mtu kuangalia ndugu zake kama wanaumwa ugonjwa huo au kama kuna vifo,labda uwe unafanya mzaha na mimi hapa.

Malaria ni ugonjwa unaoongoza kwa kuua Tanzania lakini hakuna ndugu yangu anaeumwa,kuuguza au kufa;je hii inathibitisha kuwa Tanzania hakuna Malaria?! Je nikienda hospital ya jirani na nikauliza juu ya uwepo wa mgonjwa wa malaria na wakasema hakuna mgonjwa ,hiyo inamaanisha ya kwamba Tanzania hakuna Malaria? Acha kufanya mzaha na mimi!
 
Umeshaambiwa chukua tahadhali corona ipo na inaambukizwa na ukiona dalili moja mbili,chukua marimao na tangawizi fukiza.
baada ya hapo ni kweli hatusikii watu wakianguka barabarani.

Nini tena mnataka kamati ya roho mbaya!
Unavyosema kuwa Corona ipo na tuchukue hatua,umejuaje kuwa ipo?Unaenda kinyume na kauli ya Rais? Rais alivyosema kuwa Tanzania hakuna Corona ina maana alidanganya?
 
Unavyosema kuwa Corona ipo na tuchukue hatua,umejuaje kuwa ipo?Unaenda kinyume na kauli ya Rais?Rais alivyosema kuwa Tanzania hakuna Corona alidanganya?
Mimi nimerejea kauli yake ya kwanza kabisa wakati visa vya kwanza kabisa vinalipotiwa, wacha hii ya juzi baada ya kila mtu mpaka wewe mwenyewe kujionea kwamba sasa ni dhahiri tz corona ni zilipendwa.
 
mimi nimerejea kauli yake ya kwanza kabisa wakati visa vya kwanza kabisa vinalipotiwa,wacha hii ya juzi baada ya kila mtu mpaka wewe mwenyewe kujionea kwamba sasa ni dhahiri tz corona ni zilipendwa.
Kwani hapa tunazungumzia mambo ya zamani?Hapa tunazungumzia mambo ya sasa hivi!Unavyosema kuwa sasa hivi Corona ni zilipendwa kwa maana ya kwamba haipo,umejuaje kuwa Tanzania sasa hivi haina Corona?
 
Kwani hapa tunazungumzia mambo ya zamani?Hapa tunazungumzia mambo ya sasa hivi!Unavyosema kuwa sasa hivi Corona ni zilipendwa kwa maana ya kwamba haipo,umejuaje kuwa Tanzania sasa hivi haina Corona?
Siumwi corona, sina ndugu jirani wala jamaa anayeumwa corona.

Embu niambie wewe unatizama wapi kujua corona ipo tz, au unahisi tu ipo!!
 
Duniani kote haupo utaalam wa kuchunguza uwepo pamoja na athari za ugonjwa fulani katika nchi kwa mtu kuangalia ndugu zake kama wanaumwa ugonjwa huo au kama kuna vifo,labda uwe unafanya mzaha na mimi hapa.Malaria ni ugonjwa unaoongoza kwa kuua Tanzania lakini hakuna ndugu yangu anaeumwa,kuuguza au kufa;je hii inathibitisha kuwa Tanzania hakuna Malaria?!Je nikienda hospital ya jirani na nikauliza juu ya uwepo wa mgonjwa wa malaria na wakasema hakuna mgonjwa,hiyo inamaanisha ya kwamba Tanzania hakuna Malaria?Acha kufanya mzaha na mimi!

Ok les put like this, In Tanzania, Covid 19 is a pandemic which is at epidemic proportional.
🤣😂🤣
 
siumwi corona,sina ndugu jirani wala jamaa anayeumwa corona.

embu niambie wewe unatizama wapi kujua corona ipo tz,au unahisi tu ipo!!
Wewe kutokuumwa Corona pamoja na ndugu zako haihalalishi wala haithibitishi ya kwamba Tanzania nzima haina corona.Malaria ni ugonjwa unaoongoza kwa kuua Tanzania lakini mimi,jirani zangu pamoja na ndugu zangu hakuna hata mmoja anaeumwa Malaria lakini hili halithibitishi wala halihalalishi ya kwamba Tanzania haina Malaria.
 
Na unajuaje kama hao ndugu zako wanaumwa marelia au hawaumwi?

Unalinganisha corona na maralia kwa vigezo gani?

umeshaenda hospital ukafanya utafiti kujua ni wagonjwa wangapi wa maralia wanaugua kwa siku?
 
na unajuaje kama hao ndugu zako wanaumwa marelia au hawaumwi???

unalinganisha corona na maralia kwa vigezo gani!!!
umeshaenda hospital ukafanya utafiti kujua ni wagonjwa wangapi wa maralia wanaugua kwa siku???
Mimi point yangu kuu ni kwamba duniani kote haupo utaalam wa kujua uwepo pamoja na athari za ugonjwa fulani kwa mtu kujiangalia yeye pamoja na ndugu zake kama wana huo ungonjwa au laa!Huo ni mzaha ambao ni aibu kuuandika mahali.Njia za kisayansi na za kitaalam za kujua uwepo wa ugonjwa fulani katika nchi fulani pamoja na athari zake zinajulikana.

Wewe kutaka tuanze kujadili masuala ya kuangalia kama kuna ndugu anaumwa Corona ndiyo kitumike kama kigezo cha kuthibitisha na kuhalalisha kama Tanzania Corona ipo au laa hiyo ni kujadili mizaha na muda wa kujadili mizaha sina!
 
Ok les put like this, In Tanzania, Covid 19 is a pandemic which is at epidemic proportional.
🤣😂🤣
Sasa hiyo proportionality ndiyo tunapaswa kuipima ili tujue Corona ipo kwa kias gani.Lakini kwa bahati mbaya tumekuwa majuha na kuitangazia dunia ya kwamba Corona haipo kwa sababu imeondolewa kwa maombi ya siku tatu kitu ambacho mtu mwenye akili timamu ni lazima awe na wasiwasi na uongozi wa nchi ya kwamba ni machizi au!
 
Mimi point yangu kuu ni kwamba duniani kote haupo utaalam wa kujua uwepo pamoja na athari za ugonjwa fulani kwa mtu kujiangalia yeye pamoja na ndugu zake kama wana huo ungonjwa au laa!Huo ni mzaha ambao ni aibu kuuandika mahali.Njia za kisayansi na za kitaalam za kujua uwepo wa ugonjwa fulani katika nchi fulani pamoja na athari zake zinajulikana.

Wewe kutaka tuanze kujadili masuala ya kuangalia kama kuna ndugu anaumwa Corona ndiyo kitumike kama kigezo cha kuthibitisha na kuhalalisha kama Tanzania Corona ipo au laa hiyo ni kujadili mizaha na muda wa kujadili mizaha sina!
unatumia akili zipi ikiwa hao unaowaamini wanategemea dalili ili kupima pia!!!
ni corona pekee ambayo watu wanataka tusiangalie dalili bali tukapime tu,halafu tujue nani mgonjwa nani mzima.

yaani dunia nzima inataka takwimu za wagonja tu na si vinginevyo.
 
Sasa hiyo proportionality ndiyo tunapaswa kuipima ili tujue Corona ipo kwa kias gani.Lakini kwa bahati mbaya tumekuwa majuha na kuitangazia dunia ya kwamba Corona haipo kwa sababu imeondolewa kwa maombi ya siku tatu kitu ambacho mtu mwenye akili timamu ni lazima awe na wasiwasi na uongozi wa nchi ya kwamba ni machizi au!
kama una wasi wasi halafu u miongoni mwa wasio na ugonjwa,yafaa uitilie mashaka akili yako.

kama ni kweli corona ipo basi haina madhara kwa ujumla,maana watu wanaambukizana na hawaugui wala kufariki kwa corona,so what is corona!!!!
 
unatumia akili zipi ikiwa hao unaowaamini wanategemea dalili ili kupima pia!!!
ni corona pekee ambayo watu wanataka tusiangalie dalili bali tukapime tu,halafu tujue nani mgonjwa nani mzima.

yaani dunia nzima inataka takwimu za wagonja tu na si vinginevyo.
Mjomba nimeshakuambia ya kwamba changamoto kubwa kuhusu Corona ni kwamba watu wanaweza kuwa na Corona bila ya kuonyesha dalili zozote zile.Ukisema upime tu wenye dalili maana yake kutakuwa na ambao hawana dalili lakini wanaambukiza maelfu ya watu na pengine watakaokuwa wanaambukizwa ni wale vulnarable groups kama vile wazee,wagonjwa wa magonjwa mengine,etc kitu ambacho ni hatari sana!
 
kama una wasi wasi halafu u miongoni mwa wasio na ugonjwa,yafaa uitilie mashaka akili yako.

kama ni kweli corona ipo basi haina madhara kwa ujumla,maana watu wanaambukizana na hawaugui wala kufariki kwa corona,so what is corona!!!!
Umejuaje ya kwamba hakuna watu wanaougua wala kufa kwa Corona?Umetumia kigezo gani kuyajua hayo?
 
Mjomba nimeshakuambia ya kwamba changamoto kubwa kuhusu Corona ni kwamba watu wanaweza kuwa na Corona bila ya kuonyesha dalili zozote zile.Ukisema upime tu wenye dalili maana yake kutakuwa na ambao hawana dalili lakini wanaambukiza maelfu ya watu na pengine watakaokuwa wanaambukizwa ni wale vulnarable groups kama vile wazee,wagonjwa wa magonjwa mengine,etc kitu ambacho ni hatari sana!
ndio tuko tunatafuta hao wazee ambao watakuwa wameambukizwa tokea january mpaka sasa.

vipi kwenu huko wapo??wanaendeleaje!!
 
Umejuaje ya kwamba hakuna watu wanaougua wala kufa kwa Corona?Umetumia kigezo gani kuyajua hayo?
mgonjwa wa corona anapitia hatua zipi kabla ya kufariki???

au unamaanisha watu kufa wakiwa na corona?
 
ndio tuko tunatafuta hao wazee ambao watakuwa wameambukizwa tokea january mpaka sasa.

vipi kwenu huko wapo??wanaendeleaje!!
Kwa nchi makini kwa nini usubiri hadi mzee ambae tunajua ni vigumu kupona aambukizwe corona?Kwa nini tusizuie kwenye chanzo kimojawapo ambacho ni hawa wenye corona bila dalili ambao ndiyo wanaambukiza hawa wazee?
 
Back
Top Bottom