Wakenya walalamikia udhahifu wa nchi yao kufuatia majeshi ya Somalia kuvuka na kushambulia ndani ya Kenya

KDF Soldiers Hid As Al-Shabaab Killed Americans-New York Times.

Breaking News Kenya January 23, 2020 19 Less than a minute
Americans ndio walikuwa wanashambuliwa so KDF had to lie low mabeberu wapokee kichapo 😁

Korosho msimu huu TPDF imejitayarisha kubangua?
 
Mr. President JFS
@M_Family
and Kenyan President Uhuru Kenyatta over the telephone line discussed the importance of working jointly between the two countries in maintaining border security and overall regional stability.

😂😂😂😂😂😂 ama kweli wewe ni mpumbavu ,nikuulize swali unajua tofauti ya neno KUOMBA na KUJADILI?
 
Unakumbuka ule wakati MP. Jagwa alisema watanzania na wachina walioko pale Gikombaa wafukuzwe.. Alafu baada ya hapo Uhuru akamtembelea JPM kule Chato..... Unakumbuka watanzania mlikua mkiimba hapa JF mkisema Uhuru ameenda kuomba msamaha????? Diplomasia hua ina lugha yake... Aliekosea ndo huanzisha mazungumzo kama anataka tusameheane.

Somalia iliikosea Kenya, Kenya ikatoa onyo kali, rais wa Somalia akampigia simu Rais wa Kenya "kujadiliana" alafu baada ya hapo Kenya ikatulia...

Hebu fikiria, mimi nikupige kofi alafu wewe uniangalie ukiwa umekunja sura vibaya kana kwamba unataka kuninyonga, alafu mimi nianze kutabasabu nikisema 'bro hakuna haja ya vita, njoo tuketi chini tuongee" .... Hio itakua ni kwasababu nimegundua kumbe una hasira kali na sikuwezi kwahivyo afadhali nitafute njia ya kukwepa kichapo cha umbwa mbele ya watu!
 
Heheheheheeee hapa ss ndo umeweka wazi pasipo kupendelea yn ni ukweli ulio wazi km ulivyosema kwamba Uhuru alijua fika kwamba moto wa Tanzania c mchezo na ndiyo maana akaenda kumtembelea Magu Chato ili kumuomba radhi, wkt mwngne akili huwa zinarudi kwny njia yake huwezi kuwa mwehu kuanzia mwanzo wa maisha mpk unaingia kaburini.
 
Uhuru anataka TAnzania na Uganda na Rwanda zifungue mipaka yao bila kizuizi ili bidhaa za Kenya ziuzwe kwa wingi.... Lolote ambalo litatishia hayo kufanyiko ni tishio kwa Uchumi na wanabiashara wa Kenya... I'ts all about business!
 
Kifupi ni kwamba, Kenya inaitegemea sana Tanzania ki uchumi, bila Tanzania, uchumi wa Kenya utasambaratika. Hali ya sasa ya kuzorota kwa uchumi wa Kenya, umechangiwa kwa kiasi kikubwa na sera za uchumi alizoanzisha Magufuli za kudhibiti na kubana kwa mianya iliyokua ikitumiwa na wakenya na mataifa mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact hii hwaipendi sema hawana jnc ndo ishakuwa fact watafanyeje[emoji3][emoji3]
 
Kifupi ni kwamba, Kenya inaitegemea sana Tanzania ki uchumi, bila Tanzania, uchumi wa Kenya utasambaratika. Hali ya sasa ya kuzorota kwa uchumi wa Kenya, umechangiwa kwa kiasi kikubwa na sera za uchumi alizoanzisha Magufuli za kudhibiti na kubana kwa mianya iliyokua ikitumiwa na wakenya na mataifa mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndani ya EAC ni Uganda na Kenya ndo zinategemeana, nyi wengine ni "others". Hili tushawahi liongelea hapa JF

1583662400589.png

2018 - Imports from other EAC countries
1. Uganda - $796 Million
2. Kenya - $676 Milllion
3. Tanzania - $302 Million

2018 - Exports to other EAC Countries

1. Kenya - $ 1.273 Billion
2. Uganda - $ 1.254 Billion
3. Tanzania - $ 0.508 Billion

Tena ukiangalia hio imports na Exports ni numbers za EAC nzima... KWa mfano hio $302 million imports into Tanzania, hizo ni imports kutoka nchi tano za EAC kuingia TZ.. Its only $302m kwahivyo hakuna nchi ambayo tegemeo lake la kiuchumi ni Tanzania.

Yani hata Rwanda, Nchi ambayo inapakana na TAnzania, wengi wenu mnapenda kusema Rwanda ni mkoa wa Tanzania....

Rwanda inategemea Kenya Zaidi ya inavyotegemea Tanzania kwa biashara, yani hata hao hawawategemei kiuchumi, mko number 3 baada ya Uganda, Kenya kwa biashara na Rwanda!!!!

1583663547640.png

Yani nyi ni bongolala kweli, Kenya hata haipakani na Rwanda na bado tunawaoshwa in your own backyard!!!! This is an insult
 
Attachments

  • 1583662603140.png
    1583662603140.png
    93.3 KB · Views: 1
Ndani ya EAC ni Uganda na Kenya ndo zinategemeana, nyi wengine ni "others". Hili tushawahi liongelea hapa JF

View attachment 1380821

2018 - Imports from other EAC countries
1. Uganda - $796 Million
2. Kenya - $676 Milllion
3. Tanzania - $302 Million

2018 - Exports to other EAC Countries

1. Kenya - $ 1.273 Billion
2. Uganda - $ 1.254 Billion
3. Tanzania - $ 0.508 Billion

Tena ukiangalia hio imports na Exports ni numbers za EAC nzima... KWa mfano hio $302 million imports into Tanzania, hizo ni imports kutoka nchi tano za EAC kuingia TZ.. Its only $302m kwahivyo hakuna nchi ambayo tegemeo lake la kiuchumi ni Tanzania.

Yani hata Rwanda, Nchi ambayo inapakana na TAnzania, wengi wenu mnapenda kusema Rwanda ni mkoa wa Tanzania....

Rwanda inategemea Kenya Zaidi ya inavyotegemea Tanzania kwa biashara, yani hata hao hawawategemei kiuchumi, mko number 3 baada ya Uganda, Kenya kwa biashara na Rwanda!!!!

View attachment 1380855

Yani nyi ni bongolala kweli, Kenya hata haipakani na Rwanda na bado tunawaoshwa in your own backyard!!!! This is an insult
Ndio sababu nikakuambia wewe huna uwezo wa kujenga hoja, hujui unalozungumza. Hapa unazungumzia kipengele kimoja tu cha "trade", nikimaanisha "buying and selling",

Sasa ngoja nikuonyeshe ni kiasi gani uchumi wa Kenya hutegemea Tanzania
1)Raw Materials za viwanda vya nguo, Cement, karatasi, mbolea, na vyakula
2)Zaidi ya kampuni 500 za Kenya zipo Tanzania, tukiyafunga lazima uchumi wa Kenya utayumba
3)Bidhaa zote za Kenya zinazokwenda nchi za kusini mwa Afrika, Zambia, Malawi, Burundi, Zimbabwe, Botswana, Namibia, lazima kupitia Tanzania, Je tukifunga mipaka uchumi wenu utasalimika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo raia wa Kenya wakiuliwa na majeshi toka nchi jirani ndani ya ardhi ya Kenya pia hamchukui hatua zozote?, kweli ninyi ni failed state. Taja ni nchi gani hapa duniani ambapo majirani zake wanaingia katika ardhi yake na kushambulia raia wake na haifanyi lolote. Unajua kwanini Tanzania hakuna jirani wetu hata mmoja anaweza kutucheze, wote wanaogopa kilichompata Idd Amin na M23, ndio faida ya kuwa na jeshi imara na lenye nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wale jamaa wa kutoka msumbiji mliwafanya nn baada ya kuwaua watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ambia KDF wajaribu kuvuka mpaka hata kwa mita moja ndani ya Tanzania, utajua kama ni ushabiki au wewe ndio mjinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!!mmesubiri moi ametoka madarakani ndio mnajikuta mnaubabe kwel[emoji1787][emoji1787]..

Wakati wa moi iddi amini na wasomali waliufyata...
Sasa ombeni sana tusipate rais mfidhuli km moi, walai mtaenda kw mabeberu kutushtaki..
Manake mtakachokikuta hamtoamini..

Kwanza msiombe mheshimiwa hustler Ruto akalie kiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio sababu nikakuambia wewe huna uwezo wa kujenga hoja, hujui unalozungumza. Hapa unazungumzia kipengele kimoja tu cha "trade", nikimaanisha "buying and selling",

Sasa ngoja nikuonyeshe ni kiasi gani uchumi wa Kenya hutegemea Tanzania
1)Raw Materials za viwanda vya nguo, Cement, karatasi, mbolea, na vyakula
2)Zaidi ya kampuni 500 za Kenya zipo Tanzania, tukiyafunga lazima uchumi wa Kenya utayumba
3)Bidhaa zote za Kenya zinazokwenda nchi za kusini mwa Afrika, Zambia, Malawi, Burundi, Zimbabwe, Botswana, Namibia, lazima kupitia Tanzania, Je tukifunga mipaka uchumi wenu utasalimika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzako kaweka data wewe unaweka porojo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom