fakhbros
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 384
- 658
Mbona hamsemi kuhusu hisa za Kenya airways kumilikiwa kwa kiwango kikubwa na kampuni ya mtanzania... Watanzania ni investors wazuri wakiamua lakini ni watu makini sana kuinvest katika nchi yao hasa kutokana na mfumo mbovu wa kisiasa uliopo nchini Tanzania endapo utawekeza kwa kiwango kikubwa unaanza kuchunguzwa chunguzwa Mwisho wa siku unafilisiwa Mali yako
Ni bora kuinvest nje ya Tanzania kama Kenya na Kwingineko kuliko Tanzania.
Ni bora kuinvest nje ya Tanzania kama Kenya na Kwingineko kuliko Tanzania.