kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
Ndugu haya mambo kwetu bado mno, bado tunaamini mti kulia au waajabu, bado twaua albino tupate utajiri, bado mitaani kuna kina manyau nyau, bado twavaa hirizi, bado tukiumwa tunaenda kwa sangoma, elimu yetu ya kuandika na kusoma haitoshi, bado watu wanatetea vyeti feki na njia mkato, kazi ipo raia kuelemishwa, tuko nyuma mno aise, na sijuwi kama tutafika kama hatutabadilika. Hizi hisa waelimishwe sio faida sasa au papu kwa papo, unawekeza kwa miaka ijayo mpaka kumi labda, kwa kazazi chako na sio wewe, inakuwa na faida kuwekeza Vodacom Tanzania kuliko benki, riba za benki ni ndogo mno, labda raia hela hawana,au labda ni uzuzu tu..
Unaongea upuuzi mtupu, wewe umenunua hisa hizo au unapigia watu kelele tu.