Hii IPO ya voda ingetangazwa kipindi cha Kikwete ungeshangaa.Mkiambiwa kuna tofauti kubwa kati yetu manakataa, mnabisha na kutukana. Mkenya akiona fursa, huifuata kwa nia, akili, uwezo na nguvu zote, lakini Mtanzania anaishia kununa na kuwa mwoga mwoga kwa kila hatua, anaishia kuwa na maneno mengiiiiiii.
Vodacom ya Tanzania walitangaza uuzaji wa hisa, naona kwenye taarifa hadi wameongeza muda wa makataa/deadline yao ili walau wapate Watanzania watakaonunua hadi ziishe. Wakati nakumbuka kipindi Safaricom walitangaza hisa zao, Wakenya walipitiliza kwa asilimia 532%
Halafu ukizingatia hisa za Safaricom zilikua zaidi ya maradufu ya hizo mnazouziwa na Vodacom.
Hebu muachie Wakenya hizo za Vodacom huko, muone tutakavyotiririka na kuzifagia asubuhi kabla saa nne muda wa chai.
Adviser rules out Vodacom Tanzania oversubscription
UPDATE 2-Kenya's Safaricom IPO oversubscribed by 532 pct
Hii IPO ya voda ingetangazwa kipindi cha Kikwete ungeshangaa.
Besides, Tanzanians have many options. Kuna Tigo na Airtel zinakuja. Nyie Safarricom is like the only telcom operator huko (other companies ni wasindikizaji tu). Partly explains the enthusiasm.
I hope they lock you out pia kwenye all primary sales of shares (other telcos and mining companies). Mfunguliwe tu kwenye secondary sales.
Mbwa nyie mjifunze kununua unga kwanza badala ya hisa...Hivyo vyote ni vijisababu vya kiujamaa, mara eti ingekua wakati wa Kikwete, mara Safaricom ndio mtandao pekee Kenya, mara mvua imenyesha sana.....uzembe mtupu. Mfungulie hiyo Voda muone kama tutakua na hivyo vijisababu vya Waswahili, tunafagia zote na kupitiliza, haijalishi kama kuna mitandao minigne Tanzania, haijalishi kama ni Kiwkete au JPM, haijalishi nini wala nini, unawekeza kwa kwenda mbele.
nenda ukale albino.Mbwa nyie mjifunze kununua unga kwanza badala ya hisa...
Wenzio wanakula mbwa Turkananenda ukale albino.
Kwa hisani ya ujirani, unaweza kutuambia dividend ilikuwa ksh. ngapi mkuu!??Ndugu zetu hawa walikaririshwa mambo ya ujamaa kwa miaka yote hii na athari zake zimegoma kuwatoka, wanashuku na kununia kila kitu.
Ndugu haya mambo kwetu bado mno, bado tunaamini mti kulia au waajabu, bado twaua albino tupate utajiri, bado mitaani kuna kina manyau nyau, bado twavaa hirizi, bado tukiumwa tunaenda kwa sangoma, elimu yetu ya kuandika na kusoma haitoshi, bado watu wanatetea vyeti feki na njia mkato, kazi ipo raia kuelemishwa, tuko nyuma mno aise, na sijuwi kama tutafika kama hatutabadilika. Hizi hisa waelimishwe sio faida sasa au papu kwa papo, unawekeza kwa miaka ijayo mpaka kumi labda, kwa kazazi chako na sio wewe, inakuwa na faida kuwekeza Vodacom Tanzania kuliko benki, riba za benki ni ndogo mno, labda raia hela hawana,au labda ni uzuzu tu..Mkiambiwa kuna tofauti kubwa kati yetu manakataa, mnabisha na kutukana. Mkenya akiona fursa, huifuata kwa nia, akili, uwezo na nguvu zote, lakini Mtanzania anaishia kununa na kuwa mwoga mwoga kwa kila hatua, anaishia kuwa na maneno mengiiiiiii.
you dumb f*ck...as if tanzanians dont eat rats.Wenzio wanakula mbwa Turkana
Unataka evidence?you dumb f*ck...as if tanzanians dont eat rats.
Tutajie gawiwo (dividend) ya Safaricom ni ksh. ngapi?Wapinzani walikuwepo tena sana Safcom ilipoamua kuuza hisa zake. Na kila mtu alialikua kununua hisa hata kama hakua subscriber wa Safcom.
Kulikuwa na Orange, Zain na Yu.
Wewe waufahamu mnara wa babeli kweeeeeeeliii! Ukabila wetu wakenya ni 'overated'. Tungekuwa tumesambaratika kikabila vile unavyohoji, basi haya mafanikio tumeyapata kama taifa yangekuwa ni histotria tuu? Tungekuwa tushaa poromoka kama huo mnara. Licha ya hayo, bado tunajizatiti kusonga mbele. Na Nia bado ipo! Tena kwa sanaaaa.......[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
Wakenya wamejenga nchi yao
Lakin ukabila haupungui
Bali unazd kupanda
Mswali kama hayo ya fixed deposit unawapasiwa vichwa, hawana majibu.Kwa hisani ya ujirani, unaweza kutuambia dividend ilikuwa ksh. ngapi mkuu!??
Tuone na tuoanishe usikute fixed deposit ikawa inalipa kuliko kujitwisha mzigo wa kumiliki kampuni inayokutia hasara.
Nasubiri jibu kwa hamu kubwa.
Si mlete hizo hisa zenu za vodafone hapa muone vile ziakuwa oversubscribed.
Ukweli ni kwamba Bado mentality ya ujamaa inatusumbua sana na itatoka ila si kwa kizazi hiki tulichopo sisi.