Wakenya walinunua hisa za Safaricom hadi wakapitiliza, WaTz wanabembelezwa na Vodacom wanunue


Unaongea upuuzi mtupu, wewe umenunua hisa hizo au unapigia watu kelele tu.
 
Tangia lini tena tunafananishana as long as policy za nchi zinatofautiana! Tunashea jina shillingi lakini pesa zetu hazifanani, kama hisa kwenu ni biashara iliyojuu, umewahi kuchunguza ya Tanzania? And also is Safaricom related to Vodacom in any business matters?
 
Hapana hausemi ukweli,hisa za safaricom nakumbuka EAC nzima iliruhusiwa kununua(kutoa tz sababu our BOP was not free)

Sasa hii Vodacom ni kwa ajili ya locals tu.Get your facts right.

Halafu hujui kitu kuhusu stock market ya tz,mbona NMB mwaka 2008 was oversubscribed?
 
Umetumwa uje kuwafanyia promo?
Waambie wakuuzie
 
watu wa kariobangi hamjaacha tu huo ujinga wenu.
 
Mkuu katuambia kuna kiama kinakuja kwenye makampuni ya simu, sasa unataka tuvamie kununua hisa kwenye hayo makampuni? Si kila mwaka yatatangaza hasara.
 
Mkuu katuambia kuna kiama kinakuja kwenye makampuni ya simu, sasa unataka tuvamie kununua hisa kwenye hayo makampuni? Si kila mwaka yatatangaza hasara.

Hehehe! Hayo matamko ndio tatizo.
 
Safaricom ni cash cow lazima kuchangamkia hisa zake. Ksh 48 billion net profit siyo mchezo.
 
DSE ina kampuni kibao why wote twende voda, nyie angalieni hisa za safari com tu msilime mahindi mtakula cement mwaka huu, na uchaguzi wenu lazima mproduce wakimbizi. huku njaa kule alshababu huko kimenuka! nashangaa wanaowekeza Kenya, bora ukae na ela yako mkononi
 
nimecheka sana wambie hao wadogo zetu kenya
 
Risk takers ndio huwa wenye mafanikio. Sasa wewe unataka uwekeze sehemu isiyokuwa na ushindani!

Tena kampuni ya vodacom ndio nilitegemea watz wengi wanunue share zote kwa sababu ndiyo kampuni yenye umri mkubwa baada ya ttcl na performance yake ni juu ya zote zinazosubiriwa kuuza share zao.

Kuwekeza ni tabia na inahitaji ujasiri sana. Nadhani wachagga na Wahaya ndio watakuwa wamenunua kwa wingi share.
 
A true Kenya will be built real Kanyans, likewise a true Tanzania will be built by Tanzanians. Ndo maana huwa sipendi kucomment juu ya mambo ya nchi nyingine!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…