Wakenya walinunua hisa za Safaricom hadi wakapitiliza, WaTz wanabembelezwa na Vodacom wanunue

Hivi kwa nini kila kitu unataka kulinganisha kenya yenu na Tz?? Nchi zingine hamna?? Mbona mna hofu sana??
 
Safaricom ni ya wakenya. Vodacom ni ya South Africa
 
Ndugu zetu hawa walikaririshwa mambo ya ujamaa kwa miaka yote hii na athari zake zimegoma kuwatoka, wanashuku na kununia kila kitu.
Kwenye huu uchumi wa Dereva wa Lori hautabiriki lazima tuwe makini.
 
Nimependa majibu yako. Statements kama hizi
Halafu ukizingatia hisa za Safaricom zilikua zaidi ya maradufu ya hizo mnazouziwa na Vodacom.
zilinifanya nifikirie mara mbili mbili uelewa wa mtoa mada kuhusu masuala ya hisa
 
MK254 wabongo tuache tu ,mahela yetu kuwaachia watu imekuwa tabu siku hizi hawachelewi kuzibadikishia title watu wamelimwa fao la kujitoa kuna wahanga wa majanga ya asili -pesa za msaada hazikueleweka na runours za rambirambi .
Kwa mambo yaliyopo kila mtu afe na fedha yake nikishindwa kuinvest naitia mtungini na kuifukia shambani kwangu juu yake napanda mbuyu!
 
Safaricom ni ya waingereza (Vodafone) na South Africa (Vodacom) wakenya wachache na serikali yao wanavishea kidogo.

Lol! Safaricom biggest owners ni ya Wakenya.
Government - 35%
Free float (Kenyans through IPO) - 25%
Total - 60%.

Vodaphone na Vodacom zinaown the other 40%.

Na sio wakenya wachache. Hundreds of thousands.
 

And still we're greater than you. You're just a bitter Bongo lala. With all our problems we continue to prosper.
Na by the way, DSE cannot even come close to NSE.
Hapa Nairobi twanunua hisa zote bila kubagua.
 
Hiyo namba nne ndiyo sababu ilinifanya nisinunue!! Ila next time i will!
 

Get your facts right too.
Though Safaricom shares were open for the whole East Africa, more than 95% of the money came from Kenya.
Nyie Tanzania kama nakumbuka mlishindwa hata na Uganda.
 
Lol! Safaricom biggest owners ni ya Wakenya.
Government - 35%
Free float (Kenyans through IPO) - 25%
Total - 60%.

Vodaphone na Vodacom zinaown the other 40%.

Na sio wakenya wachache. Hundreds of thousands.
Hizo share za wakenya zimegawayika kwa either individual or some institutions. Lakini nani ana more voting rights. Wakenya au Vodafone/vodacom??
 
You must be a stupid and reckless investor.
Utanunuaje hisa bila kuangalia books na potential growth? Or you just own for the sake of owning ili uonekane umemiliki hisa? Fuatilia hisa za CRDB, precision air zilipotoka na zilipo sasa.
Do you even know financial market besides coding?
I suggest you find someone good in financial market to give you ABC's.
 
wakenya wanafatilia sana masuala ya tanzania kuliko wanavyo fatilia masuala ya nchini kwao.[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Get your facts right too.
Though Safaricom shares were open for the whole East Africa, more than 95% of the money came from Kenya.
Nyie Tanzania kama nakumbuka mlishindwa hata na Uganda.
Tanzanians hatukununua sheria ilikua hairuhusu.vp unaweza weka ushahidi hapa kua 95% ilitoka kenya?
 
Nami nasubiri Tigo wakisajiri kwaajili ya public shareholders namimi nitanunua hizo visa, ila voda machale yanichezacheza sijui why wacha tuone mliozinunua hizo share zenu...
 
Tanzanians hatukununua sheria ilikua hairuhusu.vp unaweza weka ushahidi hapa kua 95% ilitoka kenya?
Ni vigumu kupata link so many years later. But nakumbuka news wakati huo. The government had allocated 20% of the shares on offer to foreigners, but it turned out Kenyans had much more interest. 800,000+ individual Kenyans put money. Kuna wengi walirudishiwa pesa juu ya oversubscription, but from the 500% oversubscription, more than 95% was Kenyan money.
 

Come on. Unless you are investing billions, no one looks at the books.
Na usitudanganye hio ndio sababu Tanzania hamjachangamkia hizi shares za Vodacom. I doubt even 1% of Tanzanians can read and understand financial statements of a big company.
 
Hizo share za wakenya zimegawayika kwa either individual or some institutions. Lakini nani ana more voting rights. Wakenya au Vodafone/vodacom??

Vodaphone did some re-organization with Vodacom, transferring 35% of their shares to the South Africans.
So saa hii, Vodacom is the single largest shareholder with 35%. Meaning most decisions will be made by them. But GOK still has seats in the board.
But trust me most of the board decisions must be pro-government. They can't dare piss them off.
Mfano:
1. Contract ya security cameras together with 4G license worth tens of billions was given to Saf.
2. A few years ago, the government and banks was exploring ways to regulate Mpesa. This threat can come back any time.
3. As of this moment, there's a big discussion on whether to split Mpesa from Safaricom since it has become too big. If Safaricom loses GOK goodwill, this can happen easily and Safaricom's mobile money monopoly will be over.
 
Come on. Unless you are investing billions, no one looks at the books.
Na usitudanganye hio ndio sababu Tanzania hamjachangamkia hizi shares za Vodacom. I doubt even 1% of Tanzanians can read and understand financial statements of a big company.

Largest investors are the ones who buy and sell millions and billions of shares.

Mtu anataka kusema kuwa mtu anaetaka kununua share 10,000,000 haangalii books?

Labda huyo ni investor wa kijijini kwenu.

If you can't read books, it's not your fault.

Na usije kununua share kwa sababu media imetangaza, utaumia vibaya sana.
 
This is what I was telling, even though GOK has a seat on board but Vodafone/Vodacom holds the last card. Ukumbuke those two companies are sisters, when Vodafone UK offload her shares to vodacom SA, it was like taking the money from left pocket, putting on right pocket.
Of course safaricom can't make huge decision without evolving GOK, mind you, safaricom wakitaka kufanya kitu hawaendi kwa serikali kama partner, no, they go there as they go to see a regulator. GOK regulate companies which operates under its jurisdiction. But all in all, Vodacom SA holds the gavel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…