Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kenyans invested heavily on Obama re-election..hana fadhila ..anapaswa "kurudisha mkono" kwa Wakenya
Mlijipendekeza wenyewe kuwekeza kwenye kampeni yake halafu mkachagua watuhumiwa wa uhalifu...mlikuwa mnategemea nini? Wajinga kabisa nyie.
