Wakenya wamemuuliza obama kwa nini hajatembelea kenya

Wakenya wamemuuliza obama kwa nini hajatembelea kenya

Ujuwe wakenya
wanakawaida ya kuficha ukweli wakati ukweli unakawaida ya kupenda
kutembea uchi kama ulivyozaliwa....obama ni mjaluo ambaye baba yake
alikulia kenya lakini origin ya babake obama ni shirati iliyoko jimbo la
rorya ndani ya mkoa wa mara nchini tanzania...

Sasa obama anapotembelea nchi ambayo ndio chimbuko la baba na babu zake
wao wanalialia....hapo kegolo mzee obama aliamia tuu nila kwao kabsaaa
ni mara tanzania...au mmesahau wakenya huwa wanasema mlima kilimanjaro
upo kwao??...

Wakenya wekeni ukweli wazi muishi kwa amaniii....kweli itawaweka huru
kwelikweli...mwacheni obama alete wajukuu kwenye kitovu cha kweli cha
asili ya babu wa babu zake....tanzania...na anamwaga mpunga wa dola
7billioni..kusaidia kuboresha maisha ya babu na ndugu zake..sio nchi ya
ugenini huko misri utumwani alikokimbilia babake.

Ni ukweli ila mchungu..but somebody got to swallow it.

daaah umenikosha sana mkuu....and thanks for the details
 
Back
Top Bottom