You sound very stu-pid now, how old are you?
He's right. People can say anything over the internet. Kuna mwengine FB kila mara alikua anashinda akiupdate ati he's a senior UN employee alafu kagundulika kumbe yeye ni gateman.
Your statement doesn't make sense either. Hakuna mkenya anayeweza kwenda ulaya alafu akamfanyie Mtanzania kazi. Huku kwetu Afrika Mashariki ni Wakenya wanaoajiri Watz na ni nadra kuona opposite likitendeka itakuawaje wakishaenda ulaya ambako kuna matajiri wa nchi zilizoendelea mtanzania aajiri mkenya.
Asante kwa kutuelezea jinsi restaurant ya kikenya ilivyofunga _ Mkenya akienda mahali pageni kila mara yeye hufikiria jinsi ya kufungua biashara yake hata kama hafifu. Hilo halipo kwa mtanzania kabisa sasa itakuaje mtanzania aajiri mkenya na biashara hana?