Sijswahi kuona ujinga na upumbavu wa Nairobi Walker kwenye post zake za kuwadharau Watanzania, eti hakuna Mtanzania wa kumwajiri kazi Mkenya! wakati Wakenya kibao wamejazana bongo wakifundisha kwenye International Schools za Wwatanzania, sijawai kuona jitu jinga kama hili.
kama ni swala la moral support c kenya tu ni africa nzima ilikuwa nyuma yake.hiyo heavy investiment gan ya wakenya unayouzungumzia kwa obama re election?!.Kenyans invested heavily on Obama re-election..hana fadhila ..anapaswa "kurudisha mkono" kwa Wakenya
hahaha umenikumbusha siku moja pale border ya namanga.dada mmoja choka mbaya wa kikenya ambaye ali exceed siku za kukaa tz alipoulizwa na migration officer,ulikuwa unafanya nini dsm akajibu nilikuwa house maid.ni wa kawaida sana hawa.nawajua kinyume nyume......iko wazi,sie home mbona tuna beki tatu wa kikenya tena mkikuyu.yupo yupo tu,waluwalu!
Governments are not buddies with each other, they exist to further their interests and protect their own citizens. If two countries interests overlap a lot, then great, they can cooperate on many things, if the interest collide in some issues, then the cooperation between the countries reduces or dies all together. Kenya is no exception, the United States government was not impressed by the choice we made on March 4th, forgetting that Kenya is a sovereign state and the elections were free and fair. Though I personally didn't vote for or give support to UhuRuto, I will not support a president that is forced down our throats by another country, even if it means being snubbed by all the presidents in the world.
Those international schools are not owned by Tanzanians. Get your facts right.Sijswahi kuona ujinga na upumbavu wa Nairobi Walker kwenye post zake za kuwadharau Watanzania, eti hakuna Mtanzania wa kumwajiri kazi Mkenya! wakati Wakenya kibao wamejazana bongo wakifundisha kwenye International Schools za Wwatanzania, sijawai kuona jitu jinga kama hili.
is mama rwakatare who owns a number of so called english medium schools a kenyan?.jinga kabisa hii.Those international schools are not owned by Tanzanians. Get your facts right.
is mama rwakatare who owns a number of so called english medium schools a kenyan.jinga kabisa hii.
now what does it take for a school to be international.?Am not sure if the so called Mama rwakatare schools are worth the name international schools but anyway, teachers are expatriates and Kenya has been known to export expatriates to Tanzania (and indeed to the whole of Africa) Maybe Tz just needed our services at this point.
now what does it take for a school to be international.?
WEWE ndio mjinga kupindukia Obama ana manufaa gani kwako ..akija hapa Tanzania utamwona on Tv ..the same way Kenya
Ujuwe wakenya wanakawaida ya kuficha ukweli wakati ukweli unakawaida ya kupenda kutembea uchi kama ulivyozaliwa....obama ni mjaluo ambaye baba yake alikulia kenya lakini origin ya babake obama ni shirati iliyoko jimbo la rorya ndani ya mkoa wa mara nchini tanzania...
Sasa obama anapotembelea nchi ambayo ndio chimbuko la baba na babu zake wao wanalialia....hapo kegolo mzee obama aliamia tuu nila kwao kabsaaa ni mara tanzania...au mmesahau wakenya huwa wanasema mlima kilimanjaro upo kwao??...
Wakenya wekeni ukweli wazi muishi kwa amaniii....kweli itawaweka huru kwelikweli...mwacheni obama alete wajukuu kwenye kitovu cha kweli cha asili ya babu wa babu zake....tanzania...na anamwaga mpunga wa dola 7billioni..kusaidia kuboresha maisha ya babu na ndugu zake..sio nchi ya ugenini huko misri utumwani alikokimbilia babake.
Ni ukweli ila mchungu..but somebody got to swallow it.
Am not sure if the so called Mama rwakatare schools are worth the name international schools but anyway, teachers are expatriates and Kenya has been known to export expatriates to Tanzania (and indeed to the whole of Africa) Maybe Tz just needed our services at this point.
c'mon man dont use that organ of urs called "ma.sa.bu.ri" to think on answering qstns.behave like a real GT.nenda kwanza kapate lunch then urudi jf.Pinhead.....................I don't have time to explain this to someone.
Am not sure if the so called Mama rwakatare schools are worth the name international schools but anyway, teachers are expatriates and Kenya has been known to export expatriates to Tanzania (and indeed to the whole of Africa) Maybe Tz just needed our services at this point.
Obama has no time to visit a failed state,Kenya US firm ranks Kenya as 'failed state' despite peaceful poll - Politics - nation.co.ke
Mkuu hii naisikia tu kwa mbali sana lakini sina hakika nayo. Tuombe Mungu atupe maisha huenda ukweli ukapatikana!aje asje hana kpya Tanzania yaleyale ya rais wa chna kupewa gesi miaka 500 bla kodi kwa ajili ya dogo