Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Hebu tuwaangalie vijana wa kenya wanavyo haha:-
Security must not only be felt, it must be seen too. Ask any commander, they will tell you the importance of this mantra. Magufuli boys came prepared for the launch of the Namanga one stop border post. We expect a deek measuring contest from our boys too

1543832526222.png

1543832545097.png

1543832575379.png

1543832592877.png

1543832642443.png
 
Hiyo security firm ndio tunaambiwa tunashangaa...Wadanganyika washamba sana i say
 
si nikijiarm the same way utaniogopa and i knw nothin about guns
 
Hivi hilo li chevrolet lenye antenas, lina kazi gani? Wajuzi kama mpo mtujuze.
Hybrid Convoy and EOD, Briefcase and Mobile Phone Jammers
H.P. Marketing & Consulting Wüst GmbH

Hybrid Convoy and Mobile Phone, Briefcase and EOD Jammers
H.P. Marketing & Consulting Wüst GmbH has more than 35 years of experience in the field of high power jamming solutions. Founded in 1982 and located in Reinfeld, Germany, H.P. Marketing acts as developer, manufacturer and worldwide (50+ countries) distributor of high powered jamming systems for military and VIP convoys. We own NATO clearance and NATO Stock Numbers for our convoy and EOD jamming systems.more
ARTICLE

Briefcase and Mobile Phone Jammers
 
Ha ha we are not scared of tinpot dictators show of might... We are just amazed by the comical security setup.
Our president's security detail is within the crowd in suits, and around him.

And can you tell your so called security to at least have some body Armour on them..hiyo kujiipeleka kifua mbele kwa hasira siyo security.. they look like they are in charge of crowd control..hapa kwetu hiyo kazi inafanywa na vijana wa NYS mbila kuwa na bunduki yeyote.
 
Siku zote mwenye wivu huishia kuwa masikini ama laa akawa anauwezo wakutolaza watoto njaa tu hawezi fanya issues zingine.
 
Wakenya waogope ujinga kama huu... wakati mambo kama haya ni kawaida Sana hehee ebu jaribu Ku compare huyo soldiers wenu na wa kikenya tuone[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 954672View attachment 954673

ha ha mtu ameweka kifua mbele ya watu wote, on higher ground halafu amevaa t-shirt plain.
Hii ni ya kushtua wanakijiji wamasai wa Namanga..
 
Wakenya waogope ujinga kama huu... wakati mambo kama haya ni kawaida Sana hehee ebu jaribu Ku compare huyo soldiers wenu na wa kikenya tuone[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 954672View attachment 954673
Hilo bunduki ni kwaajili ya snipers. Wrong weapons to a mission. Kama mlivyobeba vifaru kuwafukuza vibaka watatu.
 
Back
Top Bottom