Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

They were the first to go inside and evacuate the mall,had pushed the terrorists to the supermarket and were about to engage them, then some politician decided the army was a better option and in the change-over the mess hapned. That is the question every Kenyan asks to today.. was it a deliberate delay for political reasons...because that time Ruto was in ICC Hague for his case and came back during the attack..A very sad day.
Ali? 😅
 
Yule fala alileta huu ujinga hapa alikimbia?
So you want to engage on d measuring!? Utaweza mziki.
First of all maoni yametolewa na wakenya wenzako.
So show us your jamming systems.
 
Askari wa special force hafai Kua mnene sana kama huyo wa kwenu utadhani ni jamaa wa kupasua majabali upande wa kwale....sasa niambie hatari ikitokea kama ataweza kurusha risasi faster na huo uzito wote?[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]

View attachment 954713
Nani kakuambia huyo ni special force,hao ni TISS jomba
 
Tutamlinda kwa nguvu zote
Kwanza naona bado ulinzi uongezwe zaidi
 
Security and protection level depends on threat level, sasa Namanga hatuoni ikiwa na threat ya kutaka hiyo jammer.
Kama ingekuwa kwenye North Eastern province ingekuwa hapo kwa sababu ya al-shabab na IEDS zao.
Namanga imepitisha magaidi waliowahi kulipua mabomu Arusha.
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslah yenu yanazidi kukandamizwa.
 
They were the first to go inside and evacuate the mall,had pushed the terrorists to the supermarket and were about to engage them, then some politician decided the army was a better option and in the change-over the mess hapned. That is the question every Kenyan asks to today.. was it a deliberate delay for political reasons...because that time Ruto was in ICC Hague for his case and came back during the attack..A very sad day.
Hawa ndo walioiba chocolate au ni army?
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslah yenu yanazidi kukandamizwa.
Unadhani mambo yanaenda kama unavyowaza!?
 
😀😀 endelea kujichocha, radar mmeweka juzi halafu sasa huwezi tulia juu ya mobile jamming system?
mobile jamming system hata kwenye briefcase inatoshea..we don't need to show it around to scare villagers
Kama juzi tu radar haijui nini kilipita huko kagera utaendelea kuitegemea?
 
Back
Top Bottom