Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Wanao mlinda rais ni askari walionauwezo wa hali ya juu na kimazoezi wako vizuri....ndio maana nikasema wao ni special force jinga hii
Kama wavaa makobazi wa4 waliwahenyesha pale westgate,mkapeleka hadi ma tank mwishoe kdf wakaishia kuiba biscuit na beer,hawa special force wetu watatu si ndio wanaweza kubaka nairobi nzima
Screenshot_20181203-191654.jpeg
 
So you want to engage on d measuring!? Utaweza mziki.
First of all maoni yametolewa na wakenya wenzako.
So show us your jamming systems.
Kununua vitu kama hivi pengine muuze port ya Dar[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
images-5.jpeg
images-4.jpeg
 
Modern security hapo ni juu ya hizo Gari yenye jammers ila hao wenye gwanda na mitutu ni Ujima mkuu
Naomba kujua nini kazi ya hii gari, nakumbuka Obama alivyokuja Dar niliona km hii Gari lkn niliipotezea nikijua sitoiona tena Africa lkn kumbe leo iko Bongo hata bila Obama au the like.

Najua Generally ni security lkn sijui kivip!

Mwenye kujua plz...
tapatalk_1543864335341.jpeg
 
Kiukweli Kenya mlikosea sana mlivyohandle west gate...eti vifaru kwa ajili ya watu watatu...mi nilidhani kuna watu wangewajibishwa hasa wale wanaodili na operation. Tanzania ujinga kama ule usingewezekana abadani asilani
 
Back
Top Bottom