Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo inawatoa povu wakenya. Ndio maana wanahaha kweli. Inaitwa Mobile Jamming System.Naomba kujua nini kazi ya hii gari, nakumbuka Obama alivyokuja Dar niliona km hii Gari lkn niliipotezea nikijua sitoiona tena Africa lkn kumbe leo iko Bongo hata bila Obama au the like.
Najua Generally ni security lkn sijui kivip!
Mwenye kujua plz...View attachment 954925
Mobile Jamming system ni nn? Kwa ajili ya nn?Hii ndiyo inawatoa povu wakenya. Ndio maana wanahaha kweli. Inaitwa Mobile Jamming System.
Kazi yake ni ku-deactivate electronic devices and weapon etc.
Vita sio kuwa na mwili mkubwa kijana.View attachment 955198
Sasa Askari kama huyu hata upepo waweza sukuma!!! hata bunduki wanyang'anya bila taabu.
Si lazima ifanane hivo ndo owe bomb jammer. Hata zile land cruiser za Uhuru kuna bomb jammer kati yao. Ni vile hawaonyeshi
I hope umeelewa hapo sasa[emoji28][emoji109]Pwahaha!!!
Sasa wewe mbona huyo si Army special force, utalinganishaje na Special force. Huyo ni kikosi maalum cha kumlinda rais si Afisa wa TPDF.Compare na hao ndio ujue special force hafai kua mnene kama mhudumu wa hoteli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 954715View attachment 954716
Walidhani Uhuru ataliamsha vifaranga vya kuku.Lakini nchi inayo ongoza kwa mordern security ni Rwanda.. wanatumia wanajeshi wachache na hawavai magwanda.
Tanzania mlidhani wakenya wataanzisha vita? Kwa nini kupeleka jeshi lote namanga?