Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

KWS Rangers
Kenya%20elite%20ani-poaching%20unit.jpeg
 
Kiukweli Kenya mlikosea sana mlivyohandle west gate...eti vifaru kwa ajili ya watu watatu...mi nilidhani kuna watu wangewajibishwa hasa wale wanaodili na operation. Tanzania ujinga kama ule usingewezekana abadani asilani
Unaletewa special force, wewe umeanza kuhepa topic[emoji23][emoji23] sindano inaingia vilivyo
 
Nina wasiwasi na weledi wenu wa kimedani mbali na kujigamba kwenu na hizi gear humu
 
Kiukweli Kenya mlikosea sana mlivyohandle west gate...eti vifaru kwa ajili ya watu watatu...mi nilidhani kuna watu wangewajibishwa hasa wale wanaodili na operation. Tanzania ujinga kama ule usingewezekana abadani asilani
Walitaka kuteka nchi yao wenyewe😂😂😂😂
 
Hua naona jeshi ya kanchi fulani ikifanya mazoezi kwenye viwanja afu nasikia wakisema hiyo ndio jeshi bora Afrika..... lakini hapa Kenya huo ujinga unafanywa na National youth service [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
images-10.jpeg
thumb_dozua8wvcpi0yzglk5b087968b827d.jpeg
NYSPIX.jpeg
 
Wataalam wa security hapa wapo wengi ila panyaroad wachache tu walitutoa jasho.
 
Hua naona jeshi ya kanchi fulani ikifanya mazoezi kwenye viwanja afu nasikia wakisema hiyo ndio jeshi bora Afrika..... lakini hapa Kenya huo ujinga unafanywa na National youth service [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]View attachment 954975View attachment 954976View attachment 954977
kuna watu wamepinda na wana utayari wa muda wowote kuipambania nchi yao,iangalie kwa umakini hii video halafu unipe jibu km huko kwenu kama hao wezi wa biscuit wenu wanaweza kujitoa kama hivi we mkibera
 
Back
Top Bottom