Security must not only be felt, it must be seen too. Ask any commander, they will tell you the importance of this mantra. Magufuli boys came prepared for the launch of the Namanga one stop border post. We expect a deek measuring contest from our boys too
Hilo ni gari la vinywaji. Pepsi, Coca za kutosha humo.Hivi hilo li chevrolet lenye antenas, lina kazi gani? Wajuzi kama mpo mtujuze.
Hybrid Convoy and EOD, Briefcase and Mobile Phone JammersHivi hilo li chevrolet lenye antenas, lina kazi gani? Wajuzi kama mpo mtujuze.
Kwa ajili ya IEDjamming system car
Siku zote mwenye wivu huishia kuwa masikini ama laa akawa anauwezo wakutolaza watoto njaa tu hawezi fanya issues zingine.Ha ha we are not scared of tinpot dictators show of might... We are just amazed by the comical security setup.
Our president's security detail is within the crowd in suits, and around him.
And can you tell your so called security to at least have some body Armour on them..hiyo kujiipeleka kifua mbele kwa hasira siyo security.. they look like they are in charge of crowd control..hapa kwetu hiyo kazi inafanywa na vijana wa NYS mbila kuwa na bunduki yeyote.
Wakenya waogope ujinga kama huu... wakati mambo kama haya ni kawaida Sana hehee ebu jaribu Ku compare huyo soldiers wenu na wa kikenya tuone[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 954672View attachment 954673
Hilo bunduki ni kwaajili ya snipers. Wrong weapons to a mission. Kama mlivyobeba vifaru kuwafukuza vibaka watatu.Wakenya waogope ujinga kama huu... wakati mambo kama haya ni kawaida Sana hehee ebu jaribu Ku compare huyo soldiers wenu na wa kikenya tuone[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 954672View attachment 954673