I hop hao NYS waliweza kuwakamata wale wizi wa wastegate walokuwa wakiiba madukani baada ya vijana wawili watatu kutishia amani ya taifaHa ha we are not scared of tinpot dictators show of might... We are just amazed by the comical security setup.
Our president's security detail is within the crowd in suits, and around him.
And can you tell your so called security to at least have some body Armour on them..hiyo kujiipeleka kifua mbele kwa hasira siyo security.. they look like they are in charge of crowd control..hapa kwetu hiyo kazi inafanywa na vijana wa NYS mbila kuwa na bunduki yeyote.
Acha upuuzi huyo ni askari wa magereza ya wafungwa na hayo manati kajiwekea tu hayapo kwenye silaha zinazotumika na askari wa jeshi lolote
Huelewi unacho sema.Acha kudanganya watu, Kenya mpo na Land cruiser moja ambayo ni bomb detector pekee, huwa inatangulia mbele kabisa katika msafara wa Uhuru Kenyatta, ndio hiyo yenye red indicator inayoonyesha, just bomb detector, sio Jammer hiyo.
Lazima mshangae,Westgate tu kamasi ziliwatokaWakenya waogope ujinga kama huu... wakati mambo kama haya ni kawaida Sana hehee ebu jaribu Ku compare huyo soldiers wenu na wa kikenya tuone[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 954672View attachment 954673
That is the norm and the procedure when approaching hostage scenes. You must have an armored vehicle to provide necessary cover against incoming fire from rooftop snipers and forward observers teams.Kiukweli Kenya mlikosea sana mlivyohandle west gate...eti vifaru kwa ajili ya watu watatu...mi nilidhani kuna watu wangewajibishwa hasa wale wanaodili na operation. Tanzania ujinga kama ule usingewezekana abadani asilani
Hahahahaha, hamna kitu kazi yenu ni kupenda sifa za kijinga, tunawakalisha kila sector.Huelewi unacho sema.
Intelligence ,surveillance and reconnaissance (ISR) is the backbone of all VIP security .
Israeli PM once had to change his route during his visit in Kenya since our intelligence had foreseen a possible threat.
Use of radio jammers should not make people think that their presidential security is top notch.
There is so much that is entailed in a presidential security detail .
frequency jammers are even used in cooperate events and some times even churches its not a big deal as some people here want it to look like.
Huyo kalishwa vumbi ya korosho na wanajeshi yuakurupuka tu.Huelewi unacho sema.
Hehehe mabaunsa wamejianika vifua nje, nani aliwaambia mtu mwenye nia ya kumpiga rais atakuja kiulevi ulevi. Asante Kafrican kwa kuwaonyesha jinsi jammers za Kenya hufichwa, sio ubabaishaji kwa wanavijiji
Halafu mapolisi wa Kibongo hupenda show za kiajabu ajabu, hebu ona hii picha polisi amejihami kwa manati/feya, sasa eti huyu ndiye commando
Naona utanzania (ujinga na uwivu) inakusumbua. Hiyo bunduki ni fn scar L ya special operations. Huyo anayeibeba ni polisi wa kenya wa team 18 ambao wako trained na Navy seals, swat, CIA na Delta force.Hilo bunduki ni kwaajili ya snipers. Wrong weapons to a mission. Kama mlivyobeba vifaru kuwafukuza vibaka watatu.
kwani huyu mtu anaenda kucheza hockey? Yani jamaa anatoka nje akiwa anakaa juha kalulu.Hehehe mabaunsa wamejianika vifua nje, nani aliwaambia mtu mwenye nia ya kumpiga rais atakuja kiulevi ulevi. Asante Kafrican kwa kuwaonyesha jinsi jammers za Kenya hufichwa, sio ubabaishaji kwa wanavijiji
Halafu mapolisi wa Kibongo hupenda show za kiajabu ajabu, hebu ona hii picha polisi amejihami kwa manati/feya, sasa eti huyu ndiye commando
Hehehe mabaunsa wamejianika vifua nje, nani aliwaambia mtu mwenye nia ya kumpiga rais atakuja kiulevi ulevi. Asante Kafrican kwa kuwaonyesha jinsi jammers za Kenya hufichwa, sio ubabaishaji kwa wanavijiji
Halafu mapolisi wa Kibongo hupenda show za kiajabu ajabu, hebu ona hii picha polisi amejihami kwa manati/feya, sasa eti huyu ndiye commando
I know from reliable sources that the logistics of moving the Kenyan president is a lot of workIntelligence ,surveillance and reconnaissance (ISR) is the backbone of all VIP security .
Israeli PM once had to change his route during his visit in Kenya since our intelligence had foreseen a possible threat.
Use of radio jammers should not make people think that their presidential security is top notch.
There is so much that is entailed in a presidential security detail .
HAHAHA watanzania na kuzungumza wasichokijua! specia forces zinazotajika duniani ni ya marekani, UK na israel.MWISHO KABISA special force inayopata mafunzo yake CUBA na RUSSIA ndio bora zaidi
Don't compare commercial frequency jammers and military/law enforcement frequency jammers! They have two different capabilities and qualities!frequency jammers are even used in cooperate events and some times even churches its not a big deal as some people here want it to look like.