Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Ha ha we are not scared of tinpot dictators show of might... We are just amazed by the comical security setup.
Our president's security detail is within the crowd in suits, and around him.

And can you tell your so called security to at least have some body Armour on them..hiyo kujiipeleka kifua mbele kwa hasira siyo security.. they look like they are in charge of crowd control..hapa kwetu hiyo kazi inafanywa na vijana wa NYS mbila kuwa na bunduki yeyote.
I hop hao NYS waliweza kuwakamata wale wizi wa wastegate walokuwa wakiiba madukani baada ya vijana wawili watatu kutishia amani ya taifa
 
Acha upuuzi huyo ni askari wa magereza ya wafungwa na hayo manati kajiwekea tu hayapo kwenye silaha zinazotumika na askari wa jeshi lolote

Askari magereza anasitiri uso kama ninja, yote hiyo kwa ajili ya nini, halafu manati...hehehe nyie kituko, yaani hii picha naona ina-trend balaa...hehehe
 
Acha kudanganya watu, Kenya mpo na Land cruiser moja ambayo ni bomb detector pekee, huwa inatangulia mbele kabisa katika msafara wa Uhuru Kenyatta, ndio hiyo yenye red indicator inayoonyesha, just bomb detector, sio Jammer hiyo.
Huelewi unacho sema.
 
Kiukweli Kenya mlikosea sana mlivyohandle west gate...eti vifaru kwa ajili ya watu watatu...mi nilidhani kuna watu wangewajibishwa hasa wale wanaodili na operation. Tanzania ujinga kama ule usingewezekana abadani asilani
That is the norm and the procedure when approaching hostage scenes. You must have an armored vehicle to provide necessary cover against incoming fire from rooftop snipers and forward observers teams.
 
Intelligence ,surveillance and reconnaissance (ISR) is the backbone of all VIP security .
Israeli PM once had to change his route during his visit in Kenya since our intelligence had foreseen a possible threat.
Use of radio jammers should not make people think that their presidential security is top notch.
There is so much that is entailed in a presidential security detail .
 
frequency jammers are even used in cooperate events and some times even churches its not a big deal as some people here want it to look like.
 
This is one among the most sophisticated components of modern security, if you don't have it, obvious your security system is lacking modernity.
Intelligence ,surveillance and reconnaissance (ISR) is the backbone of all VIP security .
Israeli PM once had to change his route during his visit in Kenya since our intelligence had foreseen a possible threat.
Use of radio jammers should not make people think that their presidential security is top notch.
There is so much that is entailed in a presidential security detail .
 
Show as any church in the world that is using that advanced system of vehicles, do you know how much it costs to purchase and maintain?
frequency jammers are even used in cooperate events and some times even churches its not a big deal as some people here want it to look like.
 
Haha kiukweli ktk huu uzi KE mpo juu majeshi yenu yana jitahidi ku expose silaha nzito nzito hata ktk vi occasion vidogo dogo kwa upande wa Tz kiukweli ni haba sanaa silaha kuonywesha ila ni
Hehehe mabaunsa wamejianika vifua nje, nani aliwaambia mtu mwenye nia ya kumpiga rais atakuja kiulevi ulevi. Asante Kafrican kwa kuwaonyesha jinsi jammers za Kenya hufichwa, sio ubabaishaji kwa wanavijiji
Halafu mapolisi wa Kibongo hupenda show za kiajabu ajabu, hebu ona hii picha polisi amejihami kwa manati/feya, sasa eti huyu ndiye commando

img_20181130_111819-jpeg.951258

bro huyo sio comando huyo ni askari magereza hapo alipeleka watuhumiwa wa uhujumu uchumi ...narudia tena TZ ni nadra sanaa mwanajeshi kutembea na silaha nzito za kivita wala iyo AK47 tu mi sijawahi ona mwanajeshi kashika njian unless ukiingia kambini
 
Hilo bunduki ni kwaajili ya snipers. Wrong weapons to a mission. Kama mlivyobeba vifaru kuwafukuza vibaka watatu.
Naona utanzania (ujinga na uwivu) inakusumbua. Hiyo bunduki ni fn scar L ya special operations. Huyo anayeibeba ni polisi wa kenya wa team 18 ambao wako trained na Navy seals, swat, CIA na Delta force.

Hii bunduki ni $2900 moja na afrika nzima ni Kenya tu ndio tuko nayo. FN scar H ni ya KDF. Yani hii bunduki inatumika na special forces wa NATO, Israel, saudi arabia na kenya.
 
Hehehe mabaunsa wamejianika vifua nje, nani aliwaambia mtu mwenye nia ya kumpiga rais atakuja kiulevi ulevi. Asante Kafrican kwa kuwaonyesha jinsi jammers za Kenya hufichwa, sio ubabaishaji kwa wanavijiji
Halafu mapolisi wa Kibongo hupenda show za kiajabu ajabu, hebu ona hii picha polisi amejihami kwa manati/feya, sasa eti huyu ndiye commando

img_20181130_111819-jpeg.951258
kwani huyu mtu anaenda kucheza hockey? Yani jamaa anatoka nje akiwa anakaa juha kalulu.

Linganisha na recce unit yetu ya polisi hapa chini. Wako wasafi alafu wamebeba M4 carbine zao, sio AK47. Wako complete na communication system yao wanayo tumia kuzumza na snipers walio juu ya magorofa wakilinda usalama.
1605832036540.png

Kwa watanzania hawa hapa juu ni polisi sio jeshi ingawa mafunzo yao ni ya jeshi ya israel unit inaitwa sayaret matkal.
 
kusema ukweli huyu mtu anajiita commando kwani anaenda kuwinda nyoni na hiyo feya?
Hehehe mabaunsa wamejianika vifua nje, nani aliwaambia mtu mwenye nia ya kumpiga rais atakuja kiulevi ulevi. Asante Kafrican kwa kuwaonyesha jinsi jammers za Kenya hufichwa, sio ubabaishaji kwa wanavijiji
Halafu mapolisi wa Kibongo hupenda show za kiajabu ajabu, hebu ona hii picha polisi amejihami kwa manati/feya, sasa eti huyu ndiye commando

img_20181130_111819-jpeg.951258
 
Intelligence ,surveillance and reconnaissance (ISR) is the backbone of all VIP security .
Israeli PM once had to change his route during his visit in Kenya since our intelligence had foreseen a possible threat.
Use of radio jammers should not make people think that their presidential security is top notch.
There is so much that is entailed in a presidential security detail .
I know from reliable sources that the logistics of moving the Kenyan president is a lot of work
i) weeks before arrival Nis and DCI wil comb out the area.
ii) The president's main limo is moved via sgr secretly under guard by KDF or on board a kdf plane.
iii) The Recce VIP unit protecting the president go through rehearsals and all possible movements the president might make for weeks.
iv) The president travels fully self contained and nis always have a tracker on his body just incase of a kidnapping. He travels fully equipped with doctors and nurses and a standby evacuation team fully equipped with state of the art medical equipment.
 
frequency jammers are even used in cooperate events and some times even churches its not a big deal as some people here want it to look like.
Don't compare commercial frequency jammers and military/law enforcement frequency jammers! They have two different capabilities and qualities!
 
Back
Top Bottom