Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Wewe nani kakwambia hao wa tz huwa wanatoka, umewaona wakitoka
Hawa hapa kina nani?

1543832526222-png.954291

1543832592877-png.954298
 
Kafrican jus put all this haters in their places Geza ulole had asked to be tagged by the way
 
Nikubali nini, signal jammers tuko nazo, wewe ndo umeona ya kwanza leo unapayuka kwa ushamba!
Pwahahaha unadhani hatuwajui ninyi?
Hepu tuoneshe Security Unity ya Uhuru.

Check demostration hapa:
 
Pwahahaha unadhani hatuwajui ninyi?
Hepu tuoneshe Security Unity ya Uhuru.

Check demostration hapa:

Eti security Unity ! hapo ndo unasema nini???? security unity!!! WTF!
Alafu hapo kwa hio video, huku Kenya kazi ya crowd control inafanya na NYS na wala sio Counter Assault team ya Rais.... nchi za 3rd world tuna shida!!!!!
 
Pwahahaha unadhani hatuwajui ninyi?
Hepu tuoneshe Security Unity ya Uhuru.

Check demostration hapa:
Hao hata mlima Kilimanjaro pia wanao, ila haataki kuonyesha hadhari Kama Tanzania mnavyouonyesha mlima wenu.
 
Naona bado itikadi za majimaji rebellion mko nazo... Akivaa chupi nje-ndani risasi zitageuka na kua maji...
Halafu wakenya wa humu wote mmefundishwa hostoria na mwalimu mmoja. Wote mnaita MajiMaji War rebellion hahaaaaaa.....
 
Imagine soldiers wanakufa wakiwa kwa peace keeping [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]....Na sasa Kwa vita kama ya Somalia si watakufa wote
Wewe Kivu kusini si peace keeping ile wasauth na mavifaa yao yote hawataki ingia pale bila kuwa na wa
Tanzania. The highest morale soldiers...uliza M23 kisha urudi. Kama ambavyohusikii M23 ndivyoutakavyokuja kutoisikia ADF. Hii nimekupenyezea ikiwa hot kabisaa
 
Check Convoy ya Mh. JPM hapa
 
Naona unazidi kubabaika tu.
Hebu pitia hii clip Ulete na upande wenu. TZ is modern kijana

typical 3rd world presidential motorcade, Special forces na mabundukia yao wanafukuza gari la rais....... Radio jammers zimekua zikitumika tangu kitambo sana, there is nothing mordern about radio jammer, lakini msamba kama wewe unajikuta umefurahishwa sana... unavyozidi kuonyesha ndo unazidi kuchoma picha kabisa..........
 
Pwahahahaa!!! I told you to show us Uhuru security. Unapiga kelele tu.
 
typical 3rd world presidential motorcade, Special forces na mabundukia yao wanafukuza gari la rais....... Radio jammers zimekua zikitumika tangu kitambo sana, there is nothing mordern about radio jammer, lakini msamba kama wewe unajikuta umefurahishwa sana... unavyozidi kuonyesha ndo unazidi kuchoma picha kabisa..........
Ila huu sio Ushamba
images.jpeg
 
MWISHO KABISA special force inayopata mafunzo yake CUBA na RUSSIA ndio bora zaidi
 
Back
Top Bottom