Wakenya wana bahati mbaya kweli, leo tena wameangukia mikono katili ya Watanzani kwenye fainali CECAFA

Wakenya wana bahati mbaya kweli, leo tena wameangukia mikono katili ya Watanzani kwenye fainali CECAFA

Nionyeshe lini mwisho mmeifungs harambee stars...nifundishe jomba[emoji23][emoji23]
Kama hamjafungwa mulitoka kwasababu Tanzania ilipata goli la ugenini? Ingekua TZ mmetoka 0-0 harafu Kenya ikawa 1-1 ulikua na haki yakusema maneno hayo ila nadhan ndo tatizo lilelile sugu la wakenya kukosa kujitambua wao ili mradi mtu aandike hata kama pumba
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ukiniletea lini mwisho mmeifunga harambee stars.. unitag
 
Eti Spain ya Afrika mashariki na tayari tumewabugiza moja,wabongo hawajawahi tuweka hofu hata kidogo
Hizi comparison za kulinganisha taifa lenye nguvu na lenye uwezo wa kufanya chochote la Kenya na kanchi kadogo katanzania hazifai kabisa....mabao ni mawili kwa Kenya,tanzania sufuri
 
Tukipatana na tz mahali popote kwa tournament huanacheka kwa dharau sababu hiyo ni walkover
Kawadanganye wajinga wenzako,
Mwaka huu Tulikutana cosafa cup pale Uganda tukawafunga na kubeba kombe,
Pia hii cecafa tuliwafunga na tukabeba kombe,
Tanzania ndio timu pekee yenye mafanikio kwenye hili kombe kwa kubeba mara mbili mfufulizo.

Turudi kwenye mada...Kenya 3 - 0 Tanzania 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wapi wale walevi wa kidanganyika ambao wako na world cup kwa mdomo tu....Hii hata tungefungwa mikono bado tungeshinda tuu
 
Back
Top Bottom