Wakenya wana bahati mbaya kweli, leo tena wameangukia mikono katili ya Watanzani kwenye fainali CECAFA

Wakenya wana bahati mbaya kweli, leo tena wameangukia mikono katili ya Watanzani kwenye fainali CECAFA

Baada ya kipigo cha mbwa mwizi kule Nairobi na Tanzania kwenda mbele kwenye kufuzu CHAN, hatimaye leo tena Tanzania imefuzu kucheza fainali baada ya kuifunga timu ngumu ya Uganda na hivyo kucheza na timu ya kawaida ya Kenya kwenye fainali ya CECAFA wanawake, nasema hivi jiandaeni kisaikolojia kabisa.
Overconfidence imeiangusha Tz
 
aibuu sana jamani dah polenii!! 😅 💩 💩
 
Baada ya kipigo cha mbwa mwizi kule Nairobi na Tanzania kwenda mbele kwenye kufuzu CHAN, hatimaye leo tena Tanzania imefuzu kucheza fainali baada ya kuifunga timu ngumu ya Uganda na hivyo kucheza na timu ya kawaida ya Kenya kwenye fainali ya CECAFA wanawake, nasema hivi jiandaeni kisaikolojia kabisa.
Hiii kuropokwa kwote hadi unakera,
Uganda 3-0
Tanzania 2-0
Yaani clean sheet plus 5 goals on top Kwa the so called giants wa local east Africa tournament!!!!
 
Safi sana, hongera kwa Harambee Starlets. Naona wanakwaya wanamwaga povu kweli kweli. Yule jamaa wao wa kulia lia ni hujumaaa hakuwa uwanjani leo? [emoji1] Yaani kichapo bila jibu, tena nyumbani kwao! Bora wahamishe jitiihada zao kwenye ule mchezo wao ambao huwa wamebobea, domo domo. [emoji23]
 
Back
Top Bottom