sevenup
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 2,547
- 2,447
Naujue football kwetu ni kama maji na mafuta na bado mnakula zenu mbili nyumbani
Kawadanganye wajinga wenzako,
Mwaka huu Tulikutana cosafa cup pale Uganda tukawafunga na kubeba kombe,
Pia hii cecafa tuliwafunga na tukabeba kombe,
Tanzania ndio timu pekee yenye mafanikio kwenye hili kombe kwa kubeba mara mbili mfufulizo.
CECAFA Women's Championship - Wikipedia
en.m.wikipedia.org