Wakenya wana bahati mbaya kweli, leo tena wameangukia mikono katili ya Watanzani kwenye fainali CECAFA

Naujue football kwetu ni kama maji na mafuta na bado mnakula zenu mbili nyumbani
 
Wapi wale walevi wa kidanganyika ambao wako na world cup kwa mdomo tu....Hii hata tungefungwa mikono bado tungeshinda tuu
Kwani miaka iliyopita mlifungwa midomo mkashindwa kushinda?
 
The truth is a danganyikan is no match for a Kenyan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…