Wakenya wana bahati mbaya kweli, leo tena wameangukia mikono katili ya Watanzani kwenye fainali CECAFA

Overconfidence imeiangusha Tz
 
aibuu sana jamani dah polenii!! πŸ˜… πŸ’© πŸ’©
 
Hiii kuropokwa kwote hadi unakera,
Uganda 3-0
Tanzania 2-0
Yaani clean sheet plus 5 goals on top Kwa the so called giants wa local east Africa tournament!!!!
 
Safi sana, hongera kwa Harambee Starlets. Naona wanakwaya wanamwaga povu kweli kweli. Yule jamaa wao wa kulia lia ni hujumaaa hakuwa uwanjani leo? [emoji1] Yaani kichapo bila jibu, tena nyumbani kwao! Bora wahamishe jitiihada zao kwenye ule mchezo wao ambao huwa wamebobea, domo domo. [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…