Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Jamii zilizoendelea kiuchumi na kielimu zinaondokana na maisha ya kujilimbikizia magari kila mtu, zinaelekea kwenye kuboresha usafiri wa umma.
Kwa sababu.
1. Mlundikano wa magari unasababisha uharibifu wa mazingira
2. Mlundikano wa magari haufanyi usafiri uwe wa kiuchumi zaidi
3. Mlundikano wa magari husababisha foleni barabarani.
4. Mlundikano wa magari huendana na watu kukosa mazoezi
5. Mlundikano wa magari huongeza ajali za barabarani na kupunguza ufanisi wa usafiri
Ni nchi masikini tu zinazoendekeza ulimbukeni ndizo zinaweza kujisifia kwa kuongeza umiliki wa magari, wakati nchi zilizoendelea kiuchumi na kielimu zinajikita kwenye kupunguza magari na moshi wa carbon unaosababisha uharibifu wa mazingira na joto kuongezeka duniani.
bicycledutch.wordpress.com
Mfalme wa Netherlands akiendesha baiskeli, watu wa Netherlands wanapenda sana kuendesha baiskeli.
Rais Nyerere akiendesha baiskeli. Huyu mpaka kwa mguu alitembea.

The new King of the Netherlands on a bicycle
In just a couple of days the Dutch will have a new head of state: the reign of King Willem-Alexander of the Netherlands starts on April 30th with his inauguration. (Dutch monarchs are not crowned!)…