Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Bishop HilukaMbaya zaidi ni kwamba usafiri wa umma mjini Dar, ambao ndio ungewapa akina Johnny Mutembei afueni ndio huu hapa.Foleni za wasafiri Dar wakingoja mabasi ya mwendokasi, BRT.
Janerose mzalendo atasema kwamba hawa sio watanzania, sio kwa sura zao nyeusi ti ti ti kama zetu sisi wanubi, na walivovalia 'yeboyebo' zao mjini.![]()