Wakenya wanaongoza kwa umiliki wa magari Afrika mashariki

Achana na hawa jamaa maana ni wabishi by nature [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mwenzangu MK254 naona sasa unataka kuharibu heshima yako. Kwani mlazimishe vitu, hebu linganisha video hii uliyoweka na zile picha zenu za watu wamesimama juani wakiwa wamepanga foleni kusubiri usafiri, utaona tofauti. Kwanza hatutumii Hiace, hatupangi foleni kama Kenya (ndiyo maana likija gari tunagombea) na vituo vya mwendo kasi kwenye video hii havifanani kabisa na vile vya kwenye picha... Suala la watu kusubiri muda mrefu lipo, na hata huko Nairobi lipo, tena kwa kiwango kikubwa sana kuliko Dar es Salaam...

Kwa kuwa wewe umefika Dar es Salaam labda uniambie hapo (kwenye zile picha za mnato) ni sehemu gani ya jiji la Dar es Salaam?
 
Kuna magari 30 kwa kila Wakenya 1,000, ilhali majirani Tanzania na Uganda ni 21 na 13 mtawalia.

Tulikuwa na majukumu ya africa. Na nyie mkaendekeza ukabila na bishara na makaburu. Pili. Sio waafrica NI wahindi na waupe ndio wenye magari. Na wasomali. Na Sasa mnataka kuwaibia mafuta yao baharini. Pesa za mirahaa ndio sifa
 
Mkuu mwenzangu MK254 naona sasa unataka kuharibu heshima yako. Kwani mlazimishe vitu, hebu linganisha video hii uliyoweka na zile picha zenu za watu wamesimama juani wakiwa wamepanga foleni kusubiri usafiri, utaona tofauti. Kwanza hatutumii Hiace, hatupangi foleni kama Kenya (ndiyo maana likija gari tunagombea) na vituo vya mwendo kasi kwenye video hii havifanani kabisa na vile vya kwenye picha... Suala la watu kusubiri muda mrefu lipo, na hata huko Nairobi lipo, tena kwa kiwango kikubwa sana kuliko Dar es Salaam...

Kwa kuwa wewe umefika Dar es Salaam labda uniambie hapo (kwenye zile picha za mnato) ni sehemu gani ya jiji la Dar es Salaam?
anjikutaga ni mwenyeji dar yote mimi naomba aniambie hapo ni dar sehemu gani.nilitak kusema ni kimara but kuna mlima huko njuma.
 
Mkuu mwenzangu MK254 naona sasa unataka kuharibu heshima yako. Kwani mlazimishe vitu, hebu linganisha video hii uliyoweka na zile picha zenu za watu wamesimama juani wakiwa wamepanga foleni kusubiri usafiri, utaona tofauti. Kwanza hatutumii Hiace, hatupangi foleni kama Kenya (ndiyo maana likija gari tunagombea) na vituo vya mwendo kasi kwenye video hii havifanani kabisa na vile vya kwenye picha... Suala la watu kusubiri muda mrefu lipo, na hata huko Nairobi lipo, tena kwa kiwango kikubwa sana kuliko Dar es Salaam...

Kwa kuwa wewe umefika Dar es Salaam labda uniambie hapo (kwenye zile picha za mnato) ni sehemu gani ya jiji la Dar es Salaam?

Hapa tunajadili, hakuna anayelazimisha, ni kweli hamna desturi ya kupanga foleni Dar, na pia hizo picha sina uhakika za wapi japo panafanana na Kimara, ila kuna wakati huwa mnayapangia foleni haya mabasi.

IMG_20161003_100238.jpg
 
Hapo sio Kimara mzee, Mbona mbishi babu?

Jifunze kusoma uzi wote umeanzia wapi na watu wanajadili nini haswa, hamna sehemu nmesema hiyo picha niliyoleta ni ya Kimara.
Hii picha hapa chini ndio imeibua ubishi baina ya Bishop Hiluka na pingli-nywee kwamba sio Bongo, ndio nikasema panafanana na Kimara na walau sasa nimepata yenye maelezo/caption inayosema ni Mbezi.

66633578_511338149684525_1899723848601133493_n.jpg

Lakini kiukweli hata mpige makelele vipi na kubisha, kuna watu wanateseka sana kwa ajili ya hayo mabasi, huo mradi hamkukaa mfikirie kwanza jinsi gani ya kuufanya uwe endelevu.

b1a11-images2b252862529.jpeg

hqdefault.jpg

fb_img_1539237322198-jpg.894090

images
 
Kama ni Mbezi Mwisho nakubali kabisa, na nilishasema tangu mwanzo kwenye posti yangu fulani kuwa panafanana na Mbezi Mwisho, sehemu kunakojengwa Kituo cha mabasi ya mikoani. Kiukweli huko Mbezi Mwisho (pamoja na Gongolamboto na Mbagala) kuna shida kwelikweli ya usafiri. Hata hivyo, Maeneo hayo bado hakuna ruti ya mwendokasi ila kwa Mbezi Mwisho wamepeleka mabasi mawili au matatu kusaidia...
 
Lakini kiukweli hata mpige makelele vipi na kubisha, kuna watu wanateseka sana kwa ajili ya hayo mabasi, huo mradi hamkukaa mfikirie kwanza jinsi gani ya kuufanya uwe endelevu.
Nakubaliana na wewe, watu waliugeuza kuwa mradi wa upigaji, hivi sasa kuna kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha mahakamani, kwa watu waliokuwa wanauendesha mradi huu. Labda sasa mambo yanaweza kuwa sawa...
 
You cannot start comparing while even the data source is unverifiable and biased.. Data from a blog??? Come on!
Check out this 2014 data from a trustable site, Kenya had more than three times vehicles per capita in 2014.
24 vs 7
Screenshot_20190821-130032.jpeg
Screenshot_20190821-130142.jpeg
 
Kuna magari 30 kwa kila Wakenya 1,000, ilhali majirani Tanzania na Uganda ni 21 na 13 mtawalia.
Kuna gunia ngapi za mahindi kwa kila wakenya 1,000?
Huwezi kuendesha gari wakati kuna njaa
Unajisfia magari,lete takwimu za watu wanakula mizizi huko wajir
 
Kuna albino wangapi wanaliwa Tanzania kila mwaka, unajisfia mahindi wakati mchemsho wa albino ni dili huko.
 
Culture ya Watz ni tofauti sana na nchi zingine.
Mtanzania Akipata pesa kitu cha kwanza ni Kumiliki Nyumba mengine ni ya ziada.
Watanzania wanamsemo " Kuna Baba mwenye Nyumba sio Baba Mwenye Gari"
Watanzania Watakudharau kama umekaa nyumba ya Kupanga wakati una miliki Gari!!
Nenda Zambia au DRC mtu anaweza kuwa na Gari bila kumiliki Nyumba.
Public Transport sio ya kubeza.
Nenda Netherland + China majority wnatumia Baiskeli kama usafiri wao wa shughuli za kila siku.
images (5).jpeg
5.JPG
 
Back
Top Bottom