Wakenya wanaongoza kwa umiliki wa magari Afrika mashariki

Wakenya wanaongoza kwa umiliki wa magari Afrika mashariki

Which Means Tanzania Got More Cars than the Rest of East African countries

Kwa hesabu zipi, mtoto wa chekechea hapa Kenya anaweza akakusaidia kutafsiri kama inakushinda.
Kuna magari 30 kwa kila Wakenya 1,000
Kuna magari 21 kwa kila Watanzania 1,000
Kuna magari 13 kwa kila Waganda 1,000
 
Waulize Rose muhando, machozi, mobetto, diamond ,ryvanny na harmonize watakwambia. Wanapenda kuzuru kibera sana. Wanapapenda kuliko Tanzania.
MIMI SIISHI NAIROBI
Najua unaishi kwa slum Mombasa inaitwa sijui Nyalendwa slum ,ila kwanini nikiuliza ili swali uwa sipatiwi majibu hivi naii kunaslum ngapi wajameni ?????????? Ili swali alina jibu au ni dharau ndiyo inafanya amjibu ina maana hata wanafunzi wa Shule zenu kwenye mitihani wanajibu jibu gani wanapo ulizwa ili swali? The number of slum in Nairobi?
 
Kwa hesabu zipi, mtoto wa chekechea hapa Kenya anaweza akakusaidia kutafsiri kama inakushinda.
Kuna magari 30 kwa kila Wakenya 1,000
Kuna magari 21 kwa kila Watanzania 1,000
Kuna magari 13 kwa kila Waganda 1,000

Ok basi nikufindishe ile grade I Maths,
Tz population ni 60mil
60,000,000/1000people = 60,000

60,000 * 21cars = 1,260,000 Cars,


Kenya population 40,000,000
40,000,000/1000 = 40,000

40,000* 30cars = 1,200,000 Cars
 
Ok basi nikufindishe ile grade I Maths,
Tz population ni 60mil
60,000,000/1000people = 60,000

60,000 * 21cars = 1,260,000 Cars,


Kenya population 40,000,000
40,000,000/1000 = 40,000

40,000* 30cars = 1,200,000 Cars

Hakuna siku mnaweza kutuzidi kwa wingi wa magari, hata mkiwa wengi kiasi gani, kwa taarifa yako Kenyan population ni 49,000,000
Hiyo ina maana tuna magari zaidi ya 1,400,000.
 
Ok basi nikufindishe ile grade I Maths,
Tz population ni 60mil
60,000,000/1000people = 60,000
60,000 * 21cars = 1,260,000 Cars,
Kenya population 40,000,000
40,000,000/1000 = 40,000
40,000* 30cars = 1,200,000 Cars
Acha wehu wewe, nani kakwambia pop ya Kenya ni 40M???
Tanzania pop. 58M
Kenya 48M
TZ. 21 ------1000
??---------58000000=1,218,000 cars
KE. 30---------1000
??----------48000000=1,440,000 cars
 
Ila Nairobi ni habari nyingine kwa magari ila sina uhakika kama hiyo ratio ni sawa
 
Probox mji mzima na mikokoteni inazurura city centre, asiejua nairobi atadanganywa sana.
Nairobi napakubali sana sana kwa kua na Magari mengi ya maana(kitajiri) kuliko mji wowote E/Africa na hata dealership za magari ya Kimilionea pale zipo.
 
Aaah aaah mjaluo bhaaana.

Na takwimu zake za kitoto saana.

Taja wanaoongoza kupeleka watu somalia kujifunza ugaidi.

Ulitakiwa uhoji serikali zile ndege zilinunuliwa kupiga patrol msitu wa boni zimeenda wapi!??

Au zile genge za gaza kayole zimedhibitiwa kwa kiasi gani..

Unafurahi gari anamiliki familia ya kenyata wakati ndugu zako wanapigwa battle daily.

Ni umasikini wa akili aisee
Kuna magari 30 kwa kila Wakenya 1,000, ilhali majirani Tanzania na Uganda ni 21 na 13 mtawalia.

 
Kwenu mnaruhusiwa hata kuagiza magari mitumba iliyozeeka na bado mpo mbali sana kukaribia umiliki wa magari wa Kenya, wakati sisi haturuhusiwi, lazima tununue yakiwa mbichi.
Acha umbea wewe ni mtu mzima na akili zako...mikebe yenu 97% Ni used. ..wanaoweza miliki zero km cars ni wale mtajiri wakuhesabika usitake kuona kila mtu Ni mjinga
 
Ni sign kwamba Tz wako nyuma sana kimaendeleo kama shamba ndio mali huko.In Kenya we invest in education ,innovation,intellectual properties ,real estate na kujenga makampuni makubwa ukanda huu.Hiyo ndio mali yetu -and its well diversified.
Acha kujitutumua na vya wenzio kijana, hata ninyi mko nyuma sana watu 1000 magari 30 sio kitu ya kutamba kama kwel akili zako zinafanya kazi sawasawa...
Mkifika magari 300 kwa watu 1000 itakua mwaka 2070
 
Hakuna siku mnaweza kutuzidi kwa wingi wa magari, hata mkiwa wengi kiasi gani, kwa taarifa yako Kenyan population ni 49,000,000
Hiyo ina maana tuna magari zaidi ya 1,400,000.
Walau yangekua 4.9M kwa iyo pop yenu ya watu 49M kumbe bado kuna wakenya wanapanda punda uko vijijini
 
Acha wehu wewe, nani kakwambia pop ya Kenya ni 40M???
Tanzania pop. 58M
Kenya 48M
TZ. 21 ------1000
??---------58000000=1,218,000 cars
KE. 30---------1000
??----------48000000=1,440,000 cars
Mko million 51 mnazaliana sana kanchi kadogo watu wengi
 
Hakuna siku mnaweza kutuzidi kwa wingi wa magari, hata mkiwa wengi kiasi gani, kwa taarifa yako Kenyan population ni 49,000,000
Hiyo ina maana tuna magari zaidi ya 1,400,000.

Hivi unaelewa mahesabu kwelii??
Calculation iliyotumika kwenye hiyo source yako ndio imetumia population ya 40mn, Hakuna Kitu kinatakiwa kubadilishwa,
Ukitaka tutumie 49M kama unavyotaka maana yake haitakuwa 30 per 1000 tena, Itashuka zaidi
 
Hivi unaelewa mahesabu kwelii??
Calculation iliyotumika kwenye hiyo source yako ndio imetumia population ya 40mn, Hakuna Kitu kinatakiwa kubadilishwa,
Ukitaka tutumie 49M kama unavuotaka maana yake haigakuwa 30 per 1000 tena, Itashuka zaidi
Rudia mara kumi maana ya neno PLUS kwenye hii sentensi "With a bursting population of 40 million plus"
 
Acha wehu wewe, nani kakwambia pop ya Kenya ni 40M???
Tanzania pop. 58M
Kenya 48M
TZ. 21 ------1000
??---------58000000=1,218,000 cars
KE. 30---------1000
??----------48000000=1,440,000 cars

Attack those facts darling, I am just an Innocent Man trying to analyze the data for the Arrogant MK254 to comprehend what he just shared..
Source iliyoleta hii habari ndio imetumia kigezo cha 40M ,
Otherwise tukitumia 48M population ujue lazima tuvuruge hesabu nzima, ile ya 30 per 1000 lazima ishuke sana
Halafu kwanini Wewe na MK254 Data zenu za Population zinatofautiana? Tuamini ipi sasa?
 
Rudia mara kumi maana ya neno PLUS kwenye hii sentensi "With a bursting population of 40 million plus"

Bahati mbaya mimi ni Mwana Sayansi, inabidi ukileta Data ulete Data, Plus ni Nini? Inaonekana wewe hata shule huna unatupigia mayowe humu.
 
Hehehe!! Sizitaki mbichi....
Halafu hivi unajua sio lazima kila mtu amiliki shamba, kunao wachakarikaji mjini ambao maisha yao yote hawajawahi kukamata jembe, na wanaingiza kipato mara mia ya wewe na hako kashamba kako kijijini. Sio lazima tulime sote, kuna wale tunachangia kwenye uchumi kwa njia zingine mbadala.
Cha msingi ni kuhakikisha malengo yako yamekaa sawa, unatimiza majukumu yako kwa familia kwa kuwapa nyumba nzuri, elimu, chakula, usafiri, mawasiliano n.k.
Kumbe pia sio lazima wote tumiliki gari Mkuu?
 
Kumbe pia sio lazima wote tumiliki gari Mkuu?

Kwa hapa mjini bila usafiri mambo hayaendi kabisa, kwa kijijini itakua sawa kutegemea shughuli za ukulima, maana hata siku inaisha bila ya kutoka kwenye boma.
 
Sio TZ barabara za mwendo kasi Dar hazipo hivi wala haya mazingira hayafanani na Dar
Hata hizo foleni ni za wapiga kura Nchi Kama Central African Republic au hata Burundi ama Malawi Nchi za masikini kutupwa. Nakubaliana nawe.
 
Back
Top Bottom