Wakenya wanaongoza kwa umiliki wa magari Afrika mashariki

Wakenya wanaongoza kwa umiliki wa magari Afrika mashariki

Tatizo ni huu uzi hapa chini ndo umekuingia [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna magari 30 kwa kila Wakenya 1,000, ilhali majirani Tanzania na Uganda ni 21 na 13 mtawalia.

Kwenu mnaruhusiwa hata kuagiza magari mitumba iliyozeeka na bado mpo mbali sana kukaribia umiliki wa magari wa Kenya, wakati sisi haturuhusiwi, lazima tununue yakiwa mbichi.
Ndiyo maana Kenya kuna magari mabovu maana MTU analitumia hadi limezeeka awezi kuagiza jipya hadi afanikishe ufisadi kuiba Pesa za uma ndiyo anunue jipya
 
Kwenu mnaruhusiwa hata kuagiza magari mitumba iliyozeeka na bado mpo mbali sana kukaribia umiliki wa magari wa Kenya, wakati sisi haturuhusiwi, lazima tununue yakiwa mbichi.
Miaka ya nyerere mitumba ya nguo ilizuiliwa tulitakiwa kununua nguo Mpya matokeo yake ukinunua nguo Mpya unaivaa hadi inatoboka unashona vilaka kila sehemu sasa hiyo inasababisha magari Kenya kuwa machakavu sana sidhani kama wewe nugu unaweza kunielewa
 
You dress like hominids. Angalia post #9.Mkija Kenya mtaitwa washamba tu. Viatu vya kuenda shambani ndivyo mnatumia mjini kha!
 
Mbona wananchiii wa mjini wanakaa shida tupu?
Na ujue prices za magari Kenya ni almost double from za tz,na bado zinanunulika
Watu wamechoka sio mchezo, kutoka kwa sura zao hadi kwenye mavazi. Alafu pembeni kuna zile daladala zao ambazo zinafanana na gari za kubeba nyama. Mabango ya juu juu nayo ni meupeee, hamna matangazo wala nini. Very depressing.
 
And the way cars in Tz are very cheap, if not for the strict rules for foreign plates in kenya i would be owning a tz number plate
 
Mbaya zaidi ni kwamba usafiri wa umma mjini Dar, ambao ndio ungewapa akina Johnny Mutembei afueni ndio huu hapa.
fb_img_1565760570599-jpg.1180942
Foleni za wasafiri Dar wakingoja mabasi ya mwendokasi, BRT.
fb_img_1565760562200-jpg.1180941
Janerose mzalendo atasema kwamba hawa sio watanzania, sio kwa sura zao nyeusi ti ti ti kama zetu sisi wanubi, na walivovalia 'yeboyebo' zao mjini.
Hapa sio Tz ni Burundi.
 
Kuna magari 30 kwa kila Wakenya 1,000, ilhali majirani Tanzania na Uganda ni 21 na 13 mtawalia.

inaweza kua kweli..japo ipo too general ,Mfano kama kuna kampuni inamliki magari zaidi ya moja tayari reporti haipo sawa au magari ya serikali ya jeshi nk yote yamegawanywa kwa mtu mmoja mmoja ..so unaposema kati ya wato 1000 40 au 30 ndio wanamiliki magari ni uwongo..i can say ni report za mitaanini tu hazina uharisia

So kwa kumalizia ndugu mk254 hizi takwaim hazina uhusiono kbisa na well being ya wanaichi...nadhana umejionea eti liberia ndio kinara ....
 
Wewe Janerose, Mbona umeniweka kundi moja na hawa mibongolala? Inamaana nafanana naongea ama? 😂 😂 😂
Hahaha...si hivyo..nilikuwa nataka uone vile ichoboy01 hukana jiji lao kama kinachoonyeshwa ni negative lakini amejifanya hajaona that pic.
Wakati nilikuwa kwa hiyo battle thread alikuwa anasema 'endelea kuokota picha Google na kusema Dar' eti ni Nigeria na Congo.. Lol
 
Kwa wamiliki shamba LDC Tanzania imeshinda mpaka USA.
Congrats.
Bongolala mnadhani shamba ndio mali. Mtaendelea kuongoza namba tatu Afrika kwa namba ya waliomaskini milele.
Ni sign kwamba Tz wako nyuma sana kimaendeleo kama shamba ndio mali huko.In Kenya we invest in education ,innovation,intellectual properties ,real estate na kujenga makampuni makubwa ukanda huu.Hiyo ndio mali yetu -and its well diversified.
 
Hahaha...si hivyo..nilikuwa nataka uone vile ichoboy01 hukana jiji lao kama kinachoonyeshwa ni negative lakini amejifanya hajaona that pic.
Wakati nilikuwa kwa hiyo battle thread alikuwa anasema 'endelea kuokota picha Google na kusema Dar' eti ni Nigeria na Congo.. Lol
Lol! Huyo very soon atakana hadi uraia wake na kusema yeye sio mtanzania. He is one very delusional guy. Kwake, anything portraying Tanzania in a negative way imeokotwa kwenye internet. The way he reasons, one may think Tanzania is heaven on earth
 
You dress like hominids. Angalia post #9.Mkija Kenya mtaitwa washamba tu. Viatu vya kuenda shambani ndivyo mnatumia mjini kha!
Unajua viatu vya kuendea kibera ? Nataka kuja kutembea slum za Kenya sasa nijulishe viatu vya kibera ni gani
 
Unajua viatu vya kuendea kibera ? Nataka kuja kutembea slum za Kenya sasa nijulishe viatu vya kibera ni gani
Waulize Rose muhando, machozi, mobetto, diamond ,ryvanny na harmonize watakwambia. Wanapenda kuzuru kibera sana. Wanapapenda kuliko Tanzania.
MIMI SIISHI NAIROBI
 
Mbaya zaidi ni kwamba usafiri wa umma mjini Dar, ambao ndio ungewapa akina Johnny Mutembei afueni ndio huu hapa.
fb_img_1565760570599-jpg.1180942
Foleni za wasafiri Dar wakingoja mabasi ya mwendokasi, BRT.
fb_img_1565760562200-jpg.1180941
Janerose mzalendo atasema kwamba hawa sio watanzania, sio kwa sura zao nyeusi ti ti ti kama zetu sisi wanubi, na walivovalia 'yeboyebo' zao mjini.
Hii Nilifikiri ni foleni ya wapiga kura kumbe ni ya mwendokasi😂😂 kwani Hii Nchi haina sufficient public transport? lwiva
 
Back
Top Bottom