babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Achana na hawa jamaa maana ni wabishi by nature [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mwenzangu MK254 naona sasa unataka kuharibu heshima yako. Kwani mlazimishe vitu, hebu linganisha video hii uliyoweka na zile picha zenu za watu wamesimama juani wakiwa wamepanga foleni kusubiri usafiri, utaona tofauti. Kwanza hatutumii Hiace, hatupangi foleni kama Kenya (ndiyo maana likija gari tunagombea) na vituo vya mwendo kasi kwenye video hii havifanani kabisa na vile vya kwenye picha... Suala la watu kusubiri muda mrefu lipo, na hata huko Nairobi lipo, tena kwa kiwango kikubwa sana kuliko Dar es Salaam...
Kwa kuwa wewe umefika Dar es Salaam labda uniambie hapo (kwenye zile picha za mnato) ni sehemu gani ya jiji la Dar es Salaam?