Wakenya wanaongoza kwa umiliki wa magari Afrika mashariki

Jamii zilizoendelea kiuchumi na kielimu zinaondokana na maisha ya kujilimbikizia magari kila mtu, zinaelekea kwenye kuboresha usafiri wa umma.

Kwa sababu.

1. Mlundikano wa magari unasababisha uharibifu wa mazingira
2. Mlundikano wa magari haufanyi usafiri uwe wa kiuchumi zaidi
3. Mlundikano wa magari husababisha foleni barabarani.
4. Mlundikano wa magari huendana na watu kukosa mazoezi
5. Mlundikano wa magari huongeza ajali za barabarani na kupunguza ufanisi wa usafiri

Ni nchi masikini tu zinazoendekeza ulimbukeni ndizo zinaweza kujisifia kwa kuongeza umiliki wa magari, wakati nchi zilizoendelea kiuchumi na kielimu zinajikita kwenye kupunguza magari na moshi wa carbon unaosababisha uharibifu wa mazingira na joto kuongezeka duniani.



Mfalme wa Netherlands akiendesha baiskeli, watu wa Netherlands wanapenda sana kuendesha baiskeli.


Rais Nyerere akiendesha baiskeli. Huyu mpaka kwa mguu alitembea.
 
Na mbona huwa mnalalamika tukiendesha baiskeli Kisumu?
City ikiwa na tuktuk na baiskeli mnasema haifai kuitwa city.Umewahi fika India wewe?
 
Matusi na ubishi kwa wingi ila naona MK254 anaendelea kuwaumbua, mkiwa na mwenzenu Saint Ivuga. Ndugu zangu, ogopeni mungu.
Naona wewe una stamina ya ubishi, hapo ni Mbezi Mwisho kunakojengwa kituo kikuu cha mabasi ya mikoani, huko hakuna ruti ya BRT ila kwa kuwa kuna abiria wengi waliamua kupeleka mabasi kama mawili au matatu tu yasaidie kutoa abiria huko hadi Kimara. Kwanza hatuna Hiace zinazofanya safari zake mjini, au labda ninyi ndo mnaijua vizuri Dar es Salaam kuliko sisi wakazi?...
 
Ghafla imekuwa ni Tz, hapo mwanzoni ulisema ni Bujumbura na kwamba watz huwa hawapigi foleni. Mimi mbishi nimekuelewa sana.
 
Hivi ni nani mwenye magari mengi ? aliye na 30 kwa kila watu 1000 au aliye na 13 kwa kila watu 1000.
 
Ghafla imekuwa ni Tz, hapo mwanzoni ulisema ni Bujumbura na kwamba watz huwa hawapigi foleni. Mimi mbishi nimekuelewa sana.
Kwa sababu nakuheshimu (kwa michango yako ingawa sijui umeingiwa na pepo gani la ubishi) naomba nisiendelee na huu mjadala, naona unalazimisha malumbano kwa kunilisha maneno nisiyoyasema...

Have a nice day...
 
Matusi na ubishi kwa wingi ila naona MK254 anaendelea kuwaumbua, mkiwa na mwenzenu Saint Ivuga. Ndugu zangu, ogopeni mungu.
Nakwambia hiyo picture hapo sio stand ya brt, huyo mwandishi amekosea, sikatai kuna changamoto brt, but hiyo picha sio ya brt, ni mbezi mwisho kweli lkn sio ya brt, hiyo ni stand ya mabasi ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…