Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mji ambao unaandaa fainali haungaliwi Kwa wingi wa mashabiki wa nchi husika Bali ni miundombinu na hotel za kutosha na usalama.Sawa tuu,ufunguzi ukifanyika Tzn hakuna shida pia japo sidhani kama CAF watapeleka fainali Kenya Kwa sababu Tzn Ina mashabiki wengi.
Ukifanya cost benefit analysis ya kujitangaza kuna namna nzuri zaidi za kujitangaza.Hauoni kama ni sehemu ya kujitangaza ulimwenguni? Wakenya sio wajinga Hadi wapiganie fainali ipigwe Nairobi kwasababu wanajua nchi Yao itaweka history na kuongeza thamani ya utalii..
Zile nguvu zilizotumika kwenye royal tour zingeenda huku
Mipango sio matumiziEnzi za JPM kulikuwa na mpango wa kujenga uwanja mwingine mpya pale Dodoma
Sijui Mipango imeishia wapi
Ni kweli Mkuu, Tena ilikuwa ufadhiri wa Saudi ArabiaMipango sio matumizi
Hivi B1kea Mama Kizimkazi ni issueHakuna lolote. Labda kama u host kwa kujibana na kutia aibu.
Fuatilia mashindano ya Olympic wanavyopata hasara almost everytime.
Kabla ya kuhesabu gharama za ujenzi, Ivory Coast wametumia zaidi ya dola za Kimarekani bilioni moja kuandaa AFCON 2023.
Je, nchi yenye matatizo mengi kama Tanzania ni sawa itumie hela zote hizo ku host michezo?
Mwenye kutoa msaada kayoyoma naoEnzi za JPM kulikuwa na mpango wa kujenga uwanja mwingine mpya pale Dodoma
Sijui Mipango imeishia wapi
Ruto anajihangaisha Bure. Wakenya wengi hawapendi mpira wa ndani tofauti na Tz uwanja unaweza kukosa mashariki. Anyway it's good move for Kenya. Congratulations to them.Tatizo ni wabahili sana, hawanunui tiketi za kuingia uwanjani.
Wanasababisha hasara kubwa
Kweli cha mtu mavi 🥲Mwenye kutoa msaada kayoyoma nao
ufadhili wa Morocco na sio Saudi mkuu......Ni kweli Mkuu, Tena ilikuwa ufadhiri wa Saudi Arabia
Viwanja vyenyewe ndio akina Sheikh Amri Abeid, Kirumba, Mkwakwani na Jamuhuri, Morogoro hivyo ndivyo viwanja mnavyosema. Mmekosa kazi nyie.Hata kama mashindano hayo yakasemwa yanafanyika kesho, miundo mbinu ya viwanja bora, utayari wa mashabiki uko Tz kwa 100%.
Shukrani Kwa masahihisho Mkuu 🙏ufadhili wa Morocco na sio Saudi mkuu......
Wasilazimishe mambo.Hoja ya mashindano kuletwa Tanzania,Kenya na Uganda ni kwa hamasa na mvuto uliopo Tanzania. Wawe na shukrani yenye subira.Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyikiwe kwao. Rais Ruto ameliagiza Jeshi pamoja na Wizara ya Michezo wajenge uwanja wenye hadhi ya Kimataifa unaobeba watu 60,000 jijini Nairobi tena Ukamilike ndani ya Miaka 2 tu. Tanzania inabidi tuchangamke, fainali ichezewe kwa Mkapa.
Sisi wabongo tukiwa bado kwenye usingizi wa pono wa siasa michezoni pamoja na UJINGA wa akina Haji manara na akina Baba levo wenzetu wakenya wameshatoka usingizini Toka SAA 11 alfajiri. Wakenya wanajua dunia nzima itasimama kuangalia fainali pale Nairobi...
Wizara yetu ya michezo imejipanga vipi na haya mashindano ya AFCON 2027 au bado tunawasubiri wahamasishaji wa soka akina mwijaku?View attachment 2925194