Tetesi: Wakenya wanataka waruhusiwe kufanya kazi Tanzania bila Vibali, rais asikubali

Waje tu kufanya kazi ila lazima tuwafanyie uhakiki vyeti vyao😀
 
Huko Kenya hakuna watanzania wanaofanya kazi
Waje tu wafanye kazi bila vibali tuache chuki na wivu tufanye kazi kwa bidii.
 
Huko Kenya hakuna watanzania wanaofanya kazi
Waje tu wafanye kazi bila vibali tuache chuki na wivu tufanye kazi kwa bidii.
Unaweza fanya kazi kenya wewe?
Atakupa nani wakati wanaajiriana kiukabila ?
 
Hata Uk, Us kuna work permit!
 
US uendi bila vibali au unaongelea USA river ya Arusha?
We hakuna unachojua Mfatilie trump analalamikia nini kuhusu Mexico

Ule ukuta alioaidi trump kuujenga mpakani mwa Mexico ili wasiingie ni wakina nani na ni kwa nini?

Na ni RAIA kutoka nchi gani ......

Tatizo ufatilii mambo.........
 
Hii ni proof kwamba unatakiwa kuacha uvivu na jitahidi uende shule. Kwa sababu mtu hakubaliani na point yako basi unaamua kumwita Bavicha. Kwani kuna ubaya gani hata kama angekuwa Bavicha? Kama ungekuwa una uelewa ungejua kuwa issue ya Wakenya kufanya kazi Tz na vice versa ni issue inayohusiana na free trade na siyo issue ndogo ambayo raisi Kenyatta anai raise tu kwa Raisi wetu wakati wanakunywa chai kwenye garden. It's a big issue, requires analysis and is tied to relationship between two countries. Hawezi kumwambia tu naomba watu wangu waje kufanya kazi kwako na yeye aseme hapo hapo, sawa. Kama ni proposal ambayo tetesi yako imekwambia italetwa, then Raisi atairudisha nyumbani awape wataalamu waijadili na kutafakari faida yake kwetu wa Tz then hapo ndio utapata nafasi ya ku sound off na kuipinga. Raisi ni wetu wote, Bavicha or otherwise, problem unayo wewe usiyeelewa nchi inavyoendeshwa. Like my friend above said - wacha uvivu. Kasome na wewe uweze kushindana na wale wote wanaoitaka kazi yako, whether ni Wakenya au Watanzania wenzako.
 
Protectionism ni moja ya falsafa inayotumika na mataifa makubwa pia kabla hujaandika upuuzi wako kaa chini na uje na arguement ilioenda shule..otherwise acha kudhihirisha upeo wako mdogo(low IQ)
Mpuuzi kabisa wewe unaandika mavi hapa unategemea tukubaby? Shwaini kabisa.
 
hahahahaha....mkuu hiyo wa mikoani kuja dar na visa nimecheka sana
 
N
Ndio maana Uingereza walijitoa kwenye EU ili kulinda maslahi ya wananchi wao na nchi yao,huko nje wapi unaenda kufanya kazi bila kibali taja hata nchi moja,labda Rwanda na Uganda
 
Hapa sijaelewa. Kila kukicha humu jamvini kuna malalamiko ya ukosefu wa kazi kwa wasomi wetu. Kwamba ajira zimezuiwa.

Leo unakuja na stori za wakenya kuja kuchukua ajira hapa pasipo na ajira!!

Maswali yangu ni je.

Kama kweli wakenya wanatamani ajira za kwetu. Ni zipi hizo ambazo watanzania hawajaziona ama hawazitaki ama hawaziwezi?

Je. Kwanini watanzania nao wasiombe kwenda kenya kufanya kazi bila vibali?

Na je watanzania ni dhaifu kushindania kazi wakiwa nchini mwao. Nini tatizo?
 
Tayari wakenya wengi wapo tz wanabangaiza....labda atatoa kauli ya ku-officialize...kila kuhusu ajira tayari wakenya wengi wapo nchini wanaganga njaa.
 
Mim sioni kama ni tatzo as long as na wao wataruhusu na sisi tuende kufanya kaz huko bila kibali
 
Kijana nimekuelewa vizuri kabsa na mimi sijapingana na mleta HOJA hata kidogo.....HAPA NINACHOKISEMA NI KWAMBA HUYU JAMAA TECHNICALLY NI MNAFIKI MKUBWA KABSA........leo anajionesha yupo na mleta maada lakini likizuhiwa hili yeye ndiye atakuwa mstari wa mbele kubwabwaja humu maana hawa jamaa NI WABADILISHA GIA ANGANI WANAOENDA NA MATUKIO
 
Nambie work pamit ya European union ipoje kama utaki jitoeni eac ..........

Na uwingereza kwa nini ilijitoa Eu?
Nakushangaa kwani hujui EU walivyo wagumu na ajira zao. Tupo huku tunayaona.
We jaribu kucopy uone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…