Wakenya wapeleka malalamiko "UN" kuomba warudishiwe ardhi yao iliyopo mikononi mwa wazungu

Wakenya wao wamekalia kuzalisha mirungi.
 
Wakati Tanzania inahangaika kutafuta wawekezaji nchi zingine zinataka kuwanyanganya wazungu ardhi. Wakishapewa ardhi hawana cha kuifanyia. Hao wazungu wabaneni walipe Kodi nchi iendelee. Hii Africa ijitathmini Kwanza.
 
Ardhi hata kama wakinyanganywa wazungu wakawapa watu weusi kila mmoja kipande Kidogo kidogo bado Itakuwa shida kwasababu watu wengi weusi hawana ujuzi wa kilimo na hawana mtaji. Hao wazungu wabanwe watoe Kodi basi. Tanzania kuna ardhi kubwa haitumiki
 
Lkn hawana zaidi ya mihogo...ndo manake ikiwaishia hukosa maarifa na kuanza kula mafi
Njaa utaipata Tanzania kwa uvivu wa kula sio kwa kukosa chakula, kwanza bei tu za vyakula ni kama bure

Eneo kama Kagera, Kilimanjaro, Mbeya wafanyabiashara hupeleka mazao kama ndizi sokoni kwa siku ya gulio (siku za gulio zaweza kuwa 2 kwa week) kama amepeleka mikungu 20 ya ndizi na siku hiyo kauza mikungu 10 basi hiyo mingine huitelekeza hapo hapo sokoni na kurudi nyumbani bila mzigo sababu ni kujichosha wakati shambani ndizi zinaoza, hiyo ndio hali ya chakula katika maeneo mengi Tanzania.
 
Wakati Tanzania inahangaika kutafuta wawekezaji nchi zingine zinataka kuwanyanganya wazungu ardhi. Wakishapewa ardhi hawana cha kuifanyia. Hao wazungu wabaneni walipe Kodi nchi iendelee. Hii Africa ijitathmini Kwanza.
Jaribu kutofautisha kati ya "Investment" na "ownership" hasa katika muktadha wa kuwawezesha kiuchumi raia.
 
wazungu walioko nchini Kenya ni wakenya halisi,
sasa nyie mwalalama eti miundo mbinu yote ya Nairobi,Magorofa marefu marefu,highways zote,kila kitu eti yalijengwa na ni milki ya wazungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…