Wakenya washinda shindano la watu wenye muonekano mbaya zaidi Afrika.

Wakenya washinda shindano la watu wenye muonekano mbaya zaidi Afrika.

Status
Not open for further replies.
a6ac7c91d5c76644b0bd809eb2a96c6f.jpg

NANCY SUMARI.

872299e1ca585b8e0f539fbe25c1d78b.jpg

FLAVIANA MATATA.

0ad9065ddb49d1adf8c110fecbbc417d.jpg

LUPITA NYONG'O.

392358cbb6dcf753dfffe3a337944547.jpg

MAGLINE (Miss world Kenya)

Hapo vipi.
Hizi natural beuties zipo vizuri. Kila kitu chao ni original.
 
Hahahaha, huyo Lupita japo nauli ya kurudi nyumbani ninaweza kubali apewe, lakini huyo mwengine hapana aisee, ana sura ngumu sana, midomo kama anapiga mluzi, huyo hamna kitu
Kwa hiyo huyu arudi tu kwa "Tz 11" zake hahahaha kweli umem gawa bureeeee.
 
:-D uchonganishi... Wengine tunatumia Ma-1- humu..sio macho natural hahaha! Hata hivyo jirani zetu wanasema Beauty is in the eyes of the beholder 🙂
Indeed.... sasa tunakuja kwenye mpambano mkali kati ya Nacy na Flavy.... hihihihi naomba nisiwe judge maana mtasema napendelea.
 
Haha, mpaka nimecheka interesting question!

Hivi hatukuwa na mashindino mwaka huu basi, mpaka tunapigwa bao kiasi hiki na majirani wanakuwa miss Africa..
Kamati ya Miss Tanzania ivunjwe tu.... hakuna namna
 
kwa mtazamo wangu mimi sio kwamba ndo mzuri africa huyu dada, bali ni mzuri kati ya walioshiriki mashindano hayo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

hivi seriously ukisema warembo utamuweka????

kuna wanawake warembo na wazuri sema hawashiriki hayo mashindano ya kuuza sura
Nimekuelewa vema.... Ni mzuri kati ya walioshiriki.....
 
Yaan mimi mwanamke akiwa mwembamba(tayari nishampenda) akiwa mweusi (kanimaliza)
akiwa vizuri upstairs(kanimaliza kabisaaa) akiwa natural( baaaaasi tena nimetepeta)

Hahahaha ndio maana huyo namuona MZURI.
Umetepeta? Gal you've lesbian elements
 
Haya mseme wenyewe.
96dff35fdd7072459152a1e1feea33a0.jpg

Nancy Sumari alivyoshinda Miss World Africa.

1d526c5f5b2d005c84534574e40f25a2.jpg

Flaviana Matata alivyoshinda Miss Universe.

6d9425c3e1ba07125cdc06b4727257f2.jpg

Nancy Sumari.

9f353b6f0ac156cf703fdf47a4f7c2c9.jpg

Flaviana Matata.

bd0d45d7a39efe89dcff5947c25ffa00.jpg

Nancy Sumari.

3b1942a910e79b6a364fa5e535f3b632.jpg

Flaviana Matata.

a4d11a21c76ef3c63d2eb9d0fc5e32d1.jpg

Nancy Sumari on her wedding photo.

ebee8e0803ad668ff8c4825a88549339.jpg

Flaviana Matata on her wedding photo.

Vote Vote Vote.
 
Teh!, kweli maana hatujui nini kinaendelea mpaka mashindino ya Africa na Dunia yanakuja na kupita.
Itabidi watoe sababu za msingi la sivyo na wenyewe ni majipu kama majipu mengine.

Maana kaka zetu wanasifia Tz ina warembo halafu ni aibu haina mrembo hata mmoja wa kuwakilisha.

Shame Shame Shame.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom