Wakenya washinda shindano la watu wenye muonekano mbaya zaidi Afrika.

Wakenya washinda shindano la watu wenye muonekano mbaya zaidi Afrika.

Status
Not open for further replies.
Kuna mmoja nasikia walimtelekeza baada ya ushindi hadi nauli ya kwenda huko nje akaanza kujitafutia mwenyewe. na zawadi sijui hawakumpa sijui wa zawadi ni mwingine loooh Tz sisi jamaniii
basi warudishe mashindano ya Miss Bantu najua patakua hapatoshi.

Mpaka mrembo kuji sponsor tena aseeh!

Hiyo ya miss Bantu itakuwa moto sana kwetu tena!
 
Hapana.... Nancy hana skendo yoyote mbona...
huyo wa kutakatisha pesa isijekua unamsema Kajala wa bongo movie.
Hapana, ni yule anayetuhumiwa pamoja na aliyekuwa mkurugenzi wa TRA mzee Kitilya, yeye alikuwa anafanya kazi Stanbic bank, walitakatisha $6M, hadi leo wapo ndani, Ok yule anaitwa Shozy Sumari, hebu nikumbushe
 
.
Nafikiri huelewi fitna za huko duniani, ni hivi;

Huwa wanachagua wadada wa kiafrika ili wawe tuu kwenye 'spotlight' lakini hawashindi. Majaji huwa wanachagua mtu ambaye siyo tishio (siyo mzuri sana) kulinganisha na wale wengine (wasio na asili ya Afrika) walioshinda. Akisha kuwa kwenye 'spotlight' (tano bora) itaonekana wazi kabisa halingani na wele washindi wengine. Hii ni mahususi kueleza dunia kuwa, "huyu ndiye mwanamke mzuri wa kiafrika". Na kuhakikishia washindi namba mbili au tatu kwa bara la Afrika walikuwa wakali zaidi.

We hujiulizi wakina Gabby Sidibe wanashinda kwenye 'Hollywood Film Festival' lakini Gabrielle Union hakuwahi kushinda wakati ni mwigizaji mahiri zaidi?

Gabby Sidibe
400px-Gabourey_Sidibe_at_PaleyFest_2014_-_13491368805.jpg

Gabrielle Union
GabrielleUnionFeb09_cropped.jpg

Kwenye Film Festival inategemea na uzito wa movie, na pia part ya character.
Kwa hiyo kama Gabrielle Sidibe movie yake ina uzito zaidi in terms of the subject and her character comes out more strong kuliko kwenye movie ya Gabrielle Union.
Lazima Sidibe ampiku Union, even with the fact that G. Union is a veteran.

Hiyo ya kwamba wanaweka weusi wasiovutia kwa ajili ya " Spotlight"..
I beg to disagree.
 
Hapana, ni yule anayetuhumiwa pamoja na aliyekuwa mkurugenzi wa TRA mzee Kitilya, yeye alikuwa anafanya kazi Stanbic bank, walitakatisha $6M, hadi leo wapo ndani, Ok yule anaitwa Shozy Sumari, hebu nikumbushe
Oooh yule wa Kitilya anaitwa Shose Sinare alikua Miss Tanzania 1996.

Huyu ni Nancy Sumari alikua Miss Tanzania 2005 na Miss World Africa 2006.
 
Kwenye Film Festival inategemea na uzito wa movie, na pia part ya character.
Kwa hiyo kama Gabrielle Sidibe movie yake ina uzito zaidi in terms of the meaning and her character comes out more strong kuliko kwenye movie ya Gabrielle Union.
Lazima Sidibe ampiku Union, even with the fact that G. Union is veteran.
Words.... Movie na Urembo ni mambo mawili tofauti.
 
Oooh yule wa Kitilya anaitwa Shose Sinare alikua Miss Tanzania 1996.

Huyu ni Nancy Sumari alikua Miss Tanzania 2005 na Miss World Africa 2006.
Ok, thank you very much kwa maelezo yako, tuzidi kumuombea Shose katika kipindi hiki kigumu sana kwake, huu ni zaidi ya mwaka sasa bado yupo ndani
 
Oooh yule wa Kitilya anaitwa Shose Sinare alikua Miss Tanzania 1996.

Huyu ni Nancy Sumari alikua Miss Tanzania 2005 na Miss World Africa 2006.

Shose isingekuwa ufupi angefika mbali.
She did okay nyumbani lakini huko mbele kidogo naona akakwama.
 
Ok, thank you very much kwa maelezo yako, tuzidi kumuombea Shose katika kipindi hiki kigumu sana kwake, huu ni zaidi ya mwaka sasa bado yupo ndani
Wanakuaga na nyodo waleeee au hujakutana nao??
hapo ajiombee mwenyewe tu mimi hapana.
 
Shose isingekuwa ufupi angefika mbali.
She did okay nyumbani lakini huko mbele kidogo naona akakwama.
1996 mmmh kipindi hiko hadi aibu kusema nilikua age ngapi.... honestly simjui.
na yeye alivaa taji la miss Tz namba moja au alikua wa ngapi??
 
1996 mmmh kipindi hiko hadi aibu kusema nilikua age ngapi.... honestly simjui.
na yeye alivaa taji la miss Tz namba moja au alikua wa ngapi??

Yap alikuwa namba 1.
Sio mrefu kama wakina Nancy, alifanikiwa nyumbani lakini huko mbele sidhani angefika mbali kwa urefu wake.
 
Kwenye Film Festival inategemea na uzito wa movie, na pia part ya character.
Kwa hiyo kama Gabrielle Sidibe movie yake ina uzito zaidi in terms of the meaning and her character comes out more strong kuliko kwenye movie ya Gabrielle Union.
Lazima Sidibe ampiku Union, even with the fact that G. Union is veteran.

Hiyo ya kwamba wanaweka weusi wasiovutia kwa ajili ya " Spotlight"..
I beg to disagree.

Haya mambo ni symbolic, ni zaidi ya umahiri wa uchezaji kama wengi wanavyofikiria.

kwa mfano, unafikiri ni kwanini walimchagua Lupita (kutoka Kenya) kucheza ile sinema ya '12' badala ya kuchukua wachezaji wazoefu wa Hollywood kama Sanaa Lathan. Halafu wakaja kumpa na Oscar kabisa tena sinema ya kwanza. Huku wakina Denzel walicheza Hollywood kwa karibu miaka ishirini kabla ya kupata na hata hivyo ilibidi Denzel alalamike ndiyo akapewa.
 
Haya mambo ni symbolic, ni zaidi ya umahiri wa uchezaji kama wengi wanavyofikiria. kwa mfano, unafikiri ni kwanini walimchagua Lupita (kutoka Kenya) kucheza ile sinema ya '12' badala ya kuchukua wachezaji wazoefu wa Hollywood kama Sanaa Lathan halafu wakaja kumpa na Oscar kabisa?

Pamoja na symbolic, kumbuka kuwa wanaweza mchukua asiyefafania sana na character and then completely change them, wafananie na character.

So Unaona kama Sanaa ange play ile part ya '12' asingeweza kupata Oscar kama Lupita?
 
Haya mambo ni symbolic, ni zaidi ya umahiri wa uchezaji kama wengi wanavyofikiria.

kwa mfano, unafikiri ni kwanini walimchagua Lupita (kutoka Kenya) kucheza ile sinema ya '12' badala ya kuchukua wachezaji wazoefu wa Hollywood kama Sanaa Lathan. Halafu wakaja kumpa na Oscar kabisa tena sinema ya kwanza. Huku wakina Denzel walicheza Hollywood kwa karibu miaka ishirini kabla ya kupata na hata hivyo ilibidi Denzel alalamike ndiyo akapewa.

Sikatai kuwa inawezekana kuna hizo elements za racism and sexism in Hollywood, lakini pia tutambue kuwa movie awards are somehow unpredictable. Maana hata hao weupe wenyewe wakati mwingine hulalamika.
 
Umefanya nimuangalie huyu dada wa Kikenya hapa nikaishia kucheka tu
 
....Ha ha ha aaaa wallah wabongo nawagawa buureee, sio kwa madongo hayo.
 
Sikatai kuwa inawezekana kuna hizo elements za racism and sexism in Hollywood, lakini pia tutambue kuwa movie awards are somehow unpredictable. Maana hata hao weupe wenyewe wakati mwingine hulalamika.
Siku tukitengeneza tuzo zetu.. Kujipima kwa vigezo vyetu ndio nitaanza kuwaheshimu washindi.. Nazi ya haya matuzo ni kupromote racial surpemacy agenda..

All bilion dolar grossing movies until recently zilikuwa lazima zichezwe na wazungu.. Kina Denzel wanafanya makubwa hawaonwi.. Black actors wanapewa degrading au parts which contradicts with their values.. Wanawachukua from nowhere na kuwaahidi fame wanalaghaika.. I just don't like it
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom