Wakenya washinda shindano la watu wenye muonekano mbaya zaidi Afrika.

Wakenya washinda shindano la watu wenye muonekano mbaya zaidi Afrika.

Status
Not open for further replies.
Haya mseme wenyewe.
96dff35fdd7072459152a1e1feea33a0.jpg

Nancy Sumari alivyoshinda Miss World Africa.

1d526c5f5b2d005c84534574e40f25a2.jpg

Flaviana Matata alivyoshinda Miss Universe.

6d9425c3e1ba07125cdc06b4727257f2.jpg

Nancy Sumari.

9f353b6f0ac156cf703fdf47a4f7c2c9.jpg

Flaviana Matata.

bd0d45d7a39efe89dcff5947c25ffa00.jpg

Nancy Sumari.

3b1942a910e79b6a364fa5e535f3b632.jpg

Flaviana Matata.

a4d11a21c76ef3c63d2eb9d0fc5e32d1.jpg

Nancy Sumari on her wedding photo.

ebee8e0803ad668ff8c4825a88549339.jpg

Flaviana Matata on her wedding photo.

Vote Vote Vote.
Mtani mmeru Nancy Sumari kafunika
 
Kwa sababu nimetepeta??? basi nimekazaaa
so am i straight now??
lol
I doubt, huyo bibie kwa profile picture si salama jabir? Ni wale wale, na hadi umemuweka, you're alike.
I don't judge you though, I judge the men penetrated
 
Itabidi watoe sababu za msingi la sivyo na wenyewe ni majipu kama majipu mengine.

Maana kaka zetu wanasifia Tz ina warembo halafu ni aibu haina mrembo hata mmoja wa kuwakilisha.

Shame Shame Shame.


Hahah!, hope waone hii vizuri.

Eti tuna warembo kuliko Kenya halafu hao waKenya ndo wanafika mpaka duniani huko kuwakilisha uzuri.
 
Hahah!, habari ndo hiyo lakini.

She's no. 1 in Africa, and 4th in the World..
.
Nafikiri huelewi fitna za huko duniani, ni hivi;

Huwa wanachagua wadada wa kiafrika ili wawe tuu kwenye 'spotlight' lakini hawashindi. Majaji huwa wanachagua mtu ambaye siyo tishio (siyo mzuri sana) kulinganisha na wale wengine (wasio na asili ya Afrika) walioshinda. Akisha kuwa kwenye 'spotlight' (tano bora) itaonekana wazi kabisa halingani na wele washindi wengine.

Hii ni mahususi kueleza dunia kuwa, "huyu ndiye mwanamke mzuri wa kiafrika" na kwawale wasiojua kuhusu waafrika huamini kuwa wanawake wetu siyo wazuri. Na kuhakikishia washindi namba mbili au tatu kwa bara la Afrika walikuwa wakali zaidi.

We hujiulizi wakina Gabby Sidibe wanashinda kwenye 'Hollywood Film Festival' lakini Gabrielle Union hakuwahi kushinda wakati ni mwigizaji mahiri zaidi?

Gabby Sidibe
400px-Gabourey_Sidibe_at_PaleyFest_2014_-_13491368805.jpg


Gabrielle Union
GabrielleUnionFeb09_cropped.jpg
 
Tupo pamoja.. Sasa ngoja niende kwa REEDEMER nikaona na siasa zinasemaje... Nitakuwa napita kuwasalimia huku... Hao majirani eti wanapetembea wanaegemea mbele kwaaababu ya pua?! Au sijaelewa kizungu cha kwenye post! 😀
hahahahaha mtoa post kasiliba maana sio kupondaa..... haya usisite kutupiga chabo na hukuuu.
 
Tupo pamoja.. Sasa ngoja niende kwa REEDEMER nikaona na siasa zinasemaje... Nitakuwa napita kuwasalimia huku... Hao majirani eti wanapetembea wanaegemea mbele kwaaababu ya pua?! Au sijaelewa kizungu cha kwenye post! 😀

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unayesema haya wakati uko kwenye forum yao! [emoji28]
 
Hahah!, hope waone hii vizuri.

Eti tuna warembo kuliko Kenya halafu hao waKenya ndo wanafika mpaka duniani huko kuwakilisha uzuri.
Kuna mmoja nasikia walimtelekeza baada ya ushindi hadi nauli ya kwenda huko nje akaanza kujitafutia mwenyewe. na zawadi sijui hawakumpa sijui wa zawadi ni mwingine loooh Tz sisi jamaniii
basi warudishe mashindano ya Miss Bantu najua patakua hapatoshi.
 
Hasante sana kwa hizi picha, nikweli Nancy anamzidi Flavian, hivi huyu Nancy ndiye yule mwenye kesi ya ktakatisha pesa?
Hapana.... Nancy hana skendo yoyote mbona...
huyo wa kutakatisha pesa isijekua unamsema Kajala wa bongo movie.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom