Ilitarakimura
JF-Expert Member
- Feb 7, 2016
- 2,505
- 1,645
Kwa hiyo una maana pamoja na wabaya huko pia wapo warembo?Apparently, miss World Africa 2017 is a Kalenjinian beauty from Kenya.
View attachment 635276
View attachment 635277
View attachment 635278
View attachment 635279
View attachment 635280
15 photos of Kalenjin beauty who was crowned African queen
Hata hii ya sasa..... Tz alituwakilisha nani Miss World??
Kwa hiyo una maana pamoja na wabaya huko pia wapo warembo?
Hizi natural beuties zipo vizuri. Kila kitu chao ni original.
NANCY SUMARI.
FLAVIANA MATATA.
LUPITA NYONG'O.
MAGLINE (Miss world Kenya)
Hapo vipi.
Kwa hiyo huyu arudi tu kwa "Tz 11" zake hahahaha kweli umem gawa bureeeee.Hahahaha, huyo Lupita japo nauli ya kurudi nyumbani ninaweza kubali apewe, lakini huyo mwengine hapana aisee, ana sura ngumu sana, midomo kama anapiga mluzi, huyo hamna kitu
Indeed.... sasa tunakuja kwenye mpambano mkali kati ya Nacy na Flavy.... hihihihi naomba nisiwe judge maana mtasema napendelea.:-D uchonganishi... Wengine tunatumia Ma-1- humu..sio macho natural hahaha! Hata hivyo jirani zetu wanasema Beauty is in the eyes of the beholder 🙂
Hahahaha, huyu huku Tanzania haweizi pata soko, labda akajaribu kwa Dr.ShikaKwa hiyo huyu arudi tu kwa "Tz 11" zake hahahaha kweli umem gawa bureeeee.
Kamati ya Miss Tanzania ivunjwe tu.... hakuna namnaHaha, mpaka nimecheka interesting question!
Hivi hatukuwa na mashindino mwaka huu basi, mpaka tunapigwa bao kiasi hiki na majirani wanakuwa miss Africa..
Naaam..... hadi raha kuwatazama.Hizi natural beuties zipo vizuri. Kila kitu chao ni original.
Nimekuelewa vema.... Ni mzuri kati ya walioshiriki.....kwa mtazamo wangu mimi sio kwamba ndo mzuri africa huyu dada, bali ni mzuri kati ya walioshiriki mashindano hayo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
hivi seriously ukisema warembo utamuweka????
kuna wanawake warembo na wazuri sema hawashiriki hayo mashindano ya kuuza sura
Kamati ya Miss Tanzania ivunjwe tu.... hakuna namna
[emoji23] [emoji23] [emoji23]... Kama anapiga mluzi!! MUNGU anakuona mkuu. But you made my dayHahahaha, huyo Lupita japo nauli ya kurudi nyumbani ninaweza kubali apewe, lakini huyo mwengine hapana aisee, ana sura ngumu sana, midomo kama anapiga mluzi, huyo hamna kitu
Umetepeta? Gal you've lesbian elementsYaan mimi mwanamke akiwa mwembamba(tayari nishampenda) akiwa mweusi (kanimaliza)
akiwa vizuri upstairs(kanimaliza kabisaaa) akiwa natural( baaaaasi tena nimetepeta)
Hahahaha ndio maana huyo namuona MZURI.
Nitakuwa biased.. Nancy na Flavy ni Dada zangu. Wote walimbwende bwana.Indeed.... sasa tunakuja kwenye mpambano mkali kati ya Nacy na Flavy.... hihihihi naomba nisiwe judge maana mtasema napendelea.
Kwa sababu nimetepeta??? basi nimekazaaaUmetepeta? Gal you've lesbian elements
Alivyokuwa miss world Africa alifika top ten bhana. Tena top numbersTrue, Nancy angefika mbali sana ila ndio hivyo kamati yenyewe ya Miss Tanzania ilikua magumashi top ten hakufika.
Hata mimi wote ni dada zangu ila mmoja kamzidi mwenzie.Nitakuwa biased.. Nancy na Flavy ni Dada zangu. Wote walimbwende bwana.
Itabidi watoe sababu za msingi la sivyo na wenyewe ni majipu kama majipu mengine.Teh!, kweli maana hatujui nini kinaendelea mpaka mashindino ya Africa na Dunia yanakuja na kupita.
Nancy!? 🙂Hata mimi wote ni dada zangu ila mmoja kamzidi mwenzie.