Wakenya washinda shindano la watu wenye muonekano mbaya zaidi Afrika.

Status
Not open for further replies.
Sasa mbona unataka kuniangusha dada yangu?, hapo kwa huyo mkenya kuna uzuri gani?, may be she is exposed and had an opportunities to participate in international contents, ila hebu sema ukweli, wala sio wowowo, huyo ana sura ya mzee Moi huyo, urembo upo wapi?
Yaan mimi mwanamke akiwa mwembamba(tayari nishampenda) akiwa mweusi (kanimaliza)
akiwa vizuri upstairs(kanimaliza kabisaaa) akiwa natural( baaaaasi tena nimetepeta)

Hahahaha ndio maana huyo namuona MZURI.
 
Mbona unanichanganya, wewe ni ME?, pia umejuaje kuhusu upstairs huyu umejuaje?
 
Na mimi nimejua hilo ndio maana nikasema anatazama wowowo....
wanajua urembo ni sura na shepu ya kibantu hawajui hata kichwan pia kunatazamwa.

Halafu umeongea kweli that girl look alike na Flaviana Matata i remember hata Nancy Sumari alikua/yupo kama huyu beauty.
Miss World sio jambo la mchezo mchezo aiseee.

Umenikumbusha Nancy, jamani kumbe na sisi tuliwahi kuwa na Miss world Africa.

Unaona hawa wadada wote facial features zao kama zimefanana kwa mbali. Huyu dada na Lupita ndo kabsa kama ndugu.
Naona Lupita nae sasa anafanya pia Print Modeling.
 
Kwani KE hawezi kumsifia KE?? lol...

Hukuona alivyokua anayapangua maswali??
Bro she is a Miss World Africa kule hawaangalii tu sura hadi uwezo wako kiakili unatizamwa.
hujaona kuna sehem bibie Nalendwa amefafanua vizuri tu mambo ya kule?
 
Yaaan Nancy yule dada nilikua nampendaaaa, rum kwangu kulijaa picha zake enzi hizo hahahaha kama ndio u crush basi ulipitiliza...

Ooh Lupita anafanya modeling sasa hivi eeh good anapendeza sana and yes, wamefanana na huyu mwanzo nilijua ni Lupita duuuh.
 
Na mimi nimejua hilo ndio maana nikasema anatazama wowowo....
wanajua urembo ni sura na shepu ya kibantu hawajui hata kichwan pia kunatazamwa.

Halafu umeongea kweli that girl look alike na Flaviana Matata i remember hata Nancy Sumari alikua/yupo kama huyu beauty.
Miss World sio jambo la mchezo mchezo aiseee.
Jamani Nancy kweli mnamfananisha na huyu Dada?!!! Haya bwana.. Ila hongera kwake kwa kuwa miss afrika.
 
Lol, umeongea kwa uchunguuuu.
wana kaufanano bhana.... wewe waangalie vizuri
Nancy mama ukimuona anatembea unawezahisi umeingia wonderland.. She is natural na kwa kifupi yule mdada ni mzuri.. Sisi kinachotuangusha hatuna watu wakutetea...hakuna ukweli kwenye kuwatafuta wapeperusha bendera wetu na mbaya tasnia imejaa mabaradhuli wasiojua wema... Ndio maana wazuri wamekaa nyumbani hawajishughulishi na maujinga haya siku hizi...

Hata hivyo ni mrembo huyo Dada Wa kikenya ila imeniuma wamemfananisha na Nancy... 🙂
 
Yaaan Nancy yule dada nilikua nampendaaaa, rum kwangu kulijaa picha zake enzi hizo hahahaha kama ndio u crush basi ulipitiliza...

Ooh Lupita anafanya modeling sasa hivi eeh good anapendeza sana and yes, wamefanana na huyu mwanzo nilijua ni Lupita duuuh.

Acha hii resemble ya huyu na Lupita, sio mchezo.

Naona kama vile Nancy angeweza kutuwakilisha mpaka mbali, sikumbuki kama hata aliingia top ten ya miss world mwaka ule.
Lakini ndo hivyo tena, haikuwa rizki yetu.
 
Lol, umeongea kwa uchunguuuu.
wana kaufanano bhana.... wewe waangalie vizuri

Hahaha!, kaongea kwa uchungu mpaka kama vile anataka kulia..lol

Nancy mama ukimuona anatembea unawezahisi umeingia wonderland.. She is natural na kwa kifupi yule mdada ni mzuri.. Sisi kinachotuangusha hatuna watu wakutetea...hakuna ukweli kwenye kuwatafuta wapeperusha bendera wetu na mbaya tasnia imejaa mabaradhuli wasiojua wema... Ndio maana wazuri wamekaa nyumbani hawajishughulishi na maujinga haya siku hizi...

Hata hivyo ni mrembo huyo Dada Wa kikenya ila imeniuma wamemfananisha na Nancy... 🙂
 
Kwani KE hawezi kumsifia KE?? lol...

Hukuona alivyokua anayapangua maswali??
Bro she is a Miss World Africa kule hawaangalii tu sura hadi uwezo wako kiakili unatizamwa.
hujaona kuna sehem bibie Nalendwa amefafanua vizuri tu mambo ya kule?
Kwasababu wewe ni KE, ngoja niwe mpole tu nikubaliane na wewe, ila kwakweli huyo dada amefanana sana na mzee Daniel Toroitich Arab Moi, ila hongera zake
 
Nancy mama ukimuona anatembea unawezahisi umeingia wonderland.. She is natural na kwa kifupi yule mdada ni mzuri.. Sisi kinachotuangusha hatuna watu wakutetea...hakuna ukweli kwenye kuwatafuta wapeperusha bendera wetu na mbaya tasnia imejaa mabaradhuli wasiojua wema... Ndio maana wazuri wamekaa nyumbani hawajishughulishi na maujinga haya siku hizi...

Hata hivyo ni mrembo huyo Dada Wa kikenya ila imeniuma wamemfananisha na Nancy... 🙂
a6ac7c91d5c76644b0bd809eb2a96c6f.jpg

NANCY SUMARI.

872299e1ca585b8e0f539fbe25c1d78b.jpg

FLAVIANA MATATA.

0ad9065ddb49d1adf8c110fecbbc417d.jpg

LUPITA NYONG'O.

392358cbb6dcf753dfffe3a337944547.jpg

MAGLINE (Miss world Kenya)

Hapo vipi.
 
Acha hii resemble ya huyu na Lupita, sio mchezo.

Naona kama vile Nancy angeweza kutuwakilisha mpaka mbali, sikumbuki kama hata aliingia top ten ya miss world mwaka ule.
Lakini ndo hivyo tena, haikuwa rizki yetu.
True, Nancy angefika mbali sana ila ndio hivyo kamati yenyewe ya Miss Tanzania ilikua magumashi top ten hakufika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom