Wakenya watua Zambia kujadili ununuzi wa mahindi

Ardhi yetu 70% ni kame tupu ilhali nyie mna ardhi kubwa kiasi cha kuunganisha Uganda, Rwanda na Kenya na bado mbaki na chenji halafu yote ina rotuba lakini cha kushangaza mnakwenda kubembeleza Malawi wawauzie mahindi.
Wewe jamaa aisee unatia aibu sasa, hebu tufanye Maths.
100% - 70% = 30%

Achana na hii 30% yote.
Chukua tu 0.5% of this 30%,
Hii pekee ikitumiwa effectively italisha Kenya yote na nchi majirani.
Huwa mnapiga Mayowe humu kuwa mna mfumo bora wa Elimu Africa nzima..
Hawa wasomi especially Agriculture engineers and other experts wanaotoka katika mfumo bora kabisa wa elimu Kenya, plus your Money (Kenya is a middle Income country) wafanye kazi hii, wafanye Plant breeding, wafanye Genetic Manipulation, wazalishe mazao ya Kutosha kama Israel na Egypt,
We are tired of hearing these childish excuses from a rich country Like Kenya.
 
Usalama wa chakula tunahakikisha kwa kununua, hivyo tunazalisha mazao yenye hela halafu tunanunua mahindi na kufanya mengine makubwa.
Kama hiyo ndiyo Sera yenu basi nchi yenu imefeli,
By the Way, hizo hela mnafanyia makubwa yapi?
Maana kila mradi hapo ni Misaada na Mikopo.
 
hivi mimi mtanzania nikinunua mahindi zambia, nitapewa kibali cha kuuza kenya, lets now think out of the box, we can make money by feeding kenyans. sisi na sisi khaaa, akili ya biashara zero!!!!!


jaribu.
 
Kama hiyo ndiyo Sera yenu basi nchi yenu imefeli,
By the Way, hizo hela mnafanyia makubwa yapi?
Maana kila mradi hapo ni Misaada na Mikopo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeuwa........panya wa kenya aiseeee
 
Hali ya chakula nchini si ya kuridhisha sana. Mikoa ya kanda ya kati, kanda ya ziwa huku hali si shwari kabisa. Sasa atakayebeza hatua za kuban hizi biashara nadhani hafai hata kuongoza familia yake nyumbani, ndo hawa wazazi wauzao chakula chote cha nyumbani na kunywea pombe kisha akiwategemea wazazi na majirani kulea familia yake. Imeandikwa, "si vyema kuchukua chakula cha watoto na kuwapa mbwa" Bible.

Kungekuwepo na ziada hakuna ambaye angeikataa hiyo fursa.
 

Hiyo asilimia ndogo tunatumia kwenye ukulima wa mazao yenye hela maana sio kila wakati kuwaza ugali. Hizo hela tunazitumia kwenye mambo mengine mengi na ndio maana unaona Kenya ndio kiongozi uakanda huu kwa kila kitu. Tunawashinda nyie kiuchumi na kila kitu pamoja na kwamba mna liinchi likubwa lenye madini, vivutio bora vya utalii na mengine, ikiwemo kwamba liinchi lenu hilo ni muungano wa nchi mbili lakini hata mkungana hadi na Rwanda na Uganda bado tunawashinda.
 
Kama hiyo ndiyo Sera yenu basi nchi yenu imefeli,
By the Way, hizo hela mnafanyia makubwa yapi?
Maana kila mradi hapo ni Misaada na Mikopo.

Hela tunazitumia kwenye miradi mingi, sio kila kitu tunakopa, na ikuingie kwamba ukiwa na hela nyingi unakopesheka, ndio maana nyie mumekosa hela za reli hadi mnakwenda kumsumbua Zuma licha ya matatizo aliyonayo kwake.
Halafu kingine, hamna nchi isiyokua na mikopo dunia hii, hata kwenu pamoja na umaskini wenu mna mikopo.
 
Kwani fursa ni maindi pekee ok hatutaki kwani lazima tuwauzie,wakwende zao,wajifunze kulima na wao,mbona wao walisha tufanyiaga fitina tulipotaka tuuze meno yetu?
Mlitaka kuuza meno yenu!
 
Hivi hii notion kwamba mnatushinda, nisaidieni mwenzenu,hivi mnatushinda nn wakati mmejaa huku Tz mnataka vibarua.Hiv ulishaona wamarekani wanatafuta kazi Mexico?Ni nchi ipi kati ya Tz na Kenya yenye raia wengi ktk nchi nyingine wakihemea? Huwezi kusema upo vzr ktk familia yako wakati watoto wako wanahemea kwa jirani..
 
Na mkapige nazo kona Cape Town au Beira, msituharibie barabara hapa bongo!!
Alafu kumbe kenya kuna njaa?? Duh!
Mtu akinunua mahindi kwa wingi maana yake ana njaa? Huu ujinga kijana! Why usiwaze kuwa hiyo malighafi kwa ajili ya viwanda vya unga? Hujui unga wa Kenya unauzwa kwa wingi sana hasa hapa kwetu Tanzania? Unadhani wataendesha vipi viwanda vyao pasipo kutafuta mahindi ya kutosha?
 
Kaungane nao WA Kenya Na we ukanunue mahindi stupid
 
Waswahili wengi wanakula mboga za majani kama matembele na mchicha....hivi niwaulizeni mmekuwa mbuzi?[emoji2] [emoji191]
 
Kwanini Mimi nisiwe wa mwisho ktk huu mjadala, ila kiutani tu, kama Kenya itanunua mahindi Zambia, hili litaipa Tanzania faida kubwa ya bure kama taifa kupita ile ambayo tungeipata baada ya kukaribisha njaa nchini? Kwani watayasafirisha kwa ndege au watapitia Msumbiji?
 
Waswahili wengi wanakula mboga za majani kama matembele na mchicha....hivi niwaulizeni mmekuwa mbuzi?[emoji2] [emoji191]
Kwani binadamu aliumbwa ale nini? Binadamu yeyote alaye nje ya mbogamboga za kondeni, matunda na nafaka, hakika hayuko salama kimwili, kiakili wala kiroho.

Kiroho, jamii nyingi za kiuaji ni zile zilazo mazao ya wanyama wenzao. Fanyeni utafiti kidogo. Hasira, visasi nk ktk wao. Hello rastafarians.
 

Hayo mahindi ni ya kuuzwa ama ni ya kugawiwa? Nyie wenye mlijifunza ukulima nyakati za Nyerere mna mahindi kiasi gani? Bei ya unga ni ngapi huko kwenu? Ndio nasema nyie mna roho za kichawi kweli. Unafikiri wewe unavyokata pua lako kuiudhi uso wako wengine pia ni wajinga kama wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…