Wakenya watua Zambia kujadili ununuzi wa mahindi

Wakenya watua Zambia kujadili ununuzi wa mahindi

Ardhi yetu 70% ni kame tupu ilhali nyie mna ardhi kubwa kiasi cha kuunganisha Uganda, Rwanda na Kenya na bado mbaki na chenji halafu yote ina rotuba lakini cha kushangaza mnakwenda kubembeleza Malawi wawauzie mahindi.
Wewe jamaa aisee unatia aibu sasa, hebu tufanye Maths.
100% - 70% = 30%

Achana na hii 30% yote.
Chukua tu 0.5% of this 30%,
Hii pekee ikitumiwa effectively italisha Kenya yote na nchi majirani.
Huwa mnapiga Mayowe humu kuwa mna mfumo bora wa Elimu Africa nzima..
Hawa wasomi especially Agriculture engineers and other experts wanaotoka katika mfumo bora kabisa wa elimu Kenya, plus your Money (Kenya is a middle Income country) wafanye kazi hii, wafanye Plant breeding, wafanye Genetic Manipulation, wazalishe mazao ya Kutosha kama Israel na Egypt,
We are tired of hearing these childish excuses from a rich country Like Kenya.
 
Usalama wa chakula tunahakikisha kwa kununua, hivyo tunazalisha mazao yenye hela halafu tunanunua mahindi na kufanya mengine makubwa.
Kama hiyo ndiyo Sera yenu basi nchi yenu imefeli,
By the Way, hizo hela mnafanyia makubwa yapi?
Maana kila mradi hapo ni Misaada na Mikopo.
 
hivi mimi mtanzania nikinunua mahindi zambia, nitapewa kibali cha kuuza kenya, lets now think out of the box, we can make money by feeding kenyans. sisi na sisi khaaa, akili ya biashara zero!!!!!


jaribu.
 
Kama hiyo ndiyo Sera yenu basi nchi yenu imefeli,
By the Way, hizo hela mnafanyia makubwa yapi?
Maana kila mradi hapo ni Misaada na Mikopo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeuwa........panya wa kenya aiseeee
 
Hali ya chakula nchini si ya kuridhisha sana. Mikoa ya kanda ya kati, kanda ya ziwa huku hali si shwari kabisa. Sasa atakayebeza hatua za kuban hizi biashara nadhani hafai hata kuongoza familia yake nyumbani, ndo hawa wazazi wauzao chakula chote cha nyumbani na kunywea pombe kisha akiwategemea wazazi na majirani kulea familia yake. Imeandikwa, "si vyema kuchukua chakula cha watoto na kuwapa mbwa" Bible.

Kungekuwepo na ziada hakuna ambaye angeikataa hiyo fursa.
 
Wewe jamaa aisee unatia aibu sasa, hebu tufanye Maths.
100% - 70% = 30%

Achana na hii 30% yote.
Chukua tu 0.5% of this 30%,
Hii pekee ikitumiwa effectively italisha Kenya yote na nchi majirani.
Huwa mnapiga Mayowe humu kuwa mna mfumo bora wa Elimu Africa nzima..
Hawa wasomi especially Agriculture engineers and other experts wanaotoka katika mfumo bora kabisa wa elimu Kenya, plus your Money (Kenya is a middle Income country) wafanye kazi hii, wafanye Plant breeding, wafanye Genetic Manipulation, wazalishe mazao ya Kutosha kama Israel na Egypt,
We are tired of hearing these childish excuses from a rich country Like Kenya.

Hiyo asilimia ndogo tunatumia kwenye ukulima wa mazao yenye hela maana sio kila wakati kuwaza ugali. Hizo hela tunazitumia kwenye mambo mengine mengi na ndio maana unaona Kenya ndio kiongozi uakanda huu kwa kila kitu. Tunawashinda nyie kiuchumi na kila kitu pamoja na kwamba mna liinchi likubwa lenye madini, vivutio bora vya utalii na mengine, ikiwemo kwamba liinchi lenu hilo ni muungano wa nchi mbili lakini hata mkungana hadi na Rwanda na Uganda bado tunawashinda.
 
Kama hiyo ndiyo Sera yenu basi nchi yenu imefeli,
By the Way, hizo hela mnafanyia makubwa yapi?
Maana kila mradi hapo ni Misaada na Mikopo.

Hela tunazitumia kwenye miradi mingi, sio kila kitu tunakopa, na ikuingie kwamba ukiwa na hela nyingi unakopesheka, ndio maana nyie mumekosa hela za reli hadi mnakwenda kumsumbua Zuma licha ya matatizo aliyonayo kwake.
Halafu kingine, hamna nchi isiyokua na mikopo dunia hii, hata kwenu pamoja na umaskini wenu mna mikopo.
 
Kwani fursa ni maindi pekee ok hatutaki kwani lazima tuwauzie,wakwende zao,wajifunze kulima na wao,mbona wao walisha tufanyiaga fitina tulipotaka tuuze meno yetu?
Mlitaka kuuza meno yenu!
 
Hivi hii notion kwamba mnatushinda, nisaidieni mwenzenu,hivi mnatushinda nn wakati mmejaa huku Tz mnataka vibarua.Hiv ulishaona wamarekani wanatafuta kazi Mexico?Ni nchi ipi kati ya Tz na Kenya yenye raia wengi ktk nchi nyingine wakihemea? Huwezi kusema upo vzr ktk familia yako wakati watoto wako wanahemea kwa jirani..
 
Na mkapige nazo kona Cape Town au Beira, msituharibie barabara hapa bongo!!
Alafu kumbe kenya kuna njaa?? Duh!
Mtu akinunua mahindi kwa wingi maana yake ana njaa? Huu ujinga kijana! Why usiwaze kuwa hiyo malighafi kwa ajili ya viwanda vya unga? Hujui unga wa Kenya unauzwa kwa wingi sana hasa hapa kwetu Tanzania? Unadhani wataendesha vipi viwanda vyao pasipo kutafuta mahindi ya kutosha?
 
Wawakilishi kutoka Kenya wametinga Zambia kujadili ununuzi wa mahindi kwa maelfu ya tani. Tayari Zambia imetangaza utayari wake kuuza mahindi kwa wingi kwenye soko la Kenya ambalo lipo tayari siku nyingi baada ya kiangazi.

Wakati wengine wananuna na kuishi kimajungu majungu, wenzao wanaona fursa za kibiashara na kuzichangamkia. Wazambia watatengeneza hela kwa kwenda mbele....
--------------------------------------------------------------------------------
A delegation of grain traders and other stakeholders from Kenya is expected in Zambia this week to begin talks on the possible importation of maize, a senior Zambia government official said on Tuesday.

Minister of Finance Felix Mutati said the delegation is expected to hold talks with the Zambian government authorities for the importation of maize into the east African nation.

He told reporters during a press briefing that the delegation has already indicated that the maize is required in August and September this year.

But he could not state the tonnage of maize required, saying it will form part of the discussions.

“However the biggest challenge is how do we transport this maize to Kenya. Is it by rail or road because we will have to find the solutions to these and other challenges,” he said.

The Zambian minister said east Africa has now been identified as a big market for the country’s maize as well as the Democratic Republic of the Congo, adding that the private sector should also explore these markets.

Zambia has produced 3.6 million tonnes of maize during the 2016/2017 farming season and with the country’s consumption estimated at between 1.4 million tonnes and 1.5 million tonnes, the country has excess maize for exports.

The government has since lifted a ban on maize exports to encourage exports.
Coastweek - The most from the coast
Kaungane nao WA Kenya Na we ukanunue mahindi stupid
 
Waswahili wengi wanakula mboga za majani kama matembele na mchicha....hivi niwaulizeni mmekuwa mbuzi?[emoji2] [emoji191]
 
Kwanini Mimi nisiwe wa mwisho ktk huu mjadala, ila kiutani tu, kama Kenya itanunua mahindi Zambia, hili litaipa Tanzania faida kubwa ya bure kama taifa kupita ile ambayo tungeipata baada ya kukaribisha njaa nchini? Kwani watayasafirisha kwa ndege au watapitia Msumbiji?
 
Waswahili wengi wanakula mboga za majani kama matembele na mchicha....hivi niwaulizeni mmekuwa mbuzi?[emoji2] [emoji191]
Kwani binadamu aliumbwa ale nini? Binadamu yeyote alaye nje ya mbogamboga za kondeni, matunda na nafaka, hakika hayuko salama kimwili, kiakili wala kiroho.

Kiroho, jamii nyingi za kiuaji ni zile zilazo mazao ya wanyama wenzao. Fanyeni utafiti kidogo. Hasira, visasi nk ktk wao. Hello rastafarians.
 
We wahache tu,kulima kwenyewe wamejifunza kipindi cha chiruba badara wajidhatiti kuwa na stock kubwa ya chakula wao wanajitia kimbele mbele,hivi tujiulize lini kenya ilishawahi kusaidia wenzake kwa moyo mmoja,uganda ni kanchi kdg lakini hutusaidiaga sana kwenye mahafa,hebu fikilia lile janga la tetemeko la aridhi bukoba halafu linganisha na pole iliotolewa na hao tuliokataa kuwapa maindi ina fanana na uchumi wao.ok wajifunze kulima kwa bidii sio kujitapa na viwanda vya makabaira wale sasa hivyo viwanda?

Hayo mahindi ni ya kuuzwa ama ni ya kugawiwa? Nyie wenye mlijifunza ukulima nyakati za Nyerere mna mahindi kiasi gani? Bei ya unga ni ngapi huko kwenu? Ndio nasema nyie mna roho za kichawi kweli. Unafikiri wewe unavyokata pua lako kuiudhi uso wako wengine pia ni wajinga kama wewe?
 
Back
Top Bottom