Wakenya watua Zambia kujadili ununuzi wa mahindi

Wakenya watua Zambia kujadili ununuzi wa mahindi

Hawa watu wapuuzi kweli, yani wamekomaa kulima maua badala ya kulima mahindi wale
 
Ungeomba tafsiri kimya kimya tu ww mswahili, ama vipi upate kozi yako ya english fresh apo dar kwa ras simba, na ww uteme yai humu kama wakenya[emoji3] [emoji109]
Kumbe porojo zote hizi waandika kumbe upo kwetu watafuta unga upeleke kwenu, poyoyo kweli wewe
 
Wawakilishi kutoka Kenya wametinga Zambia kujadili ununuzi wa mahindi kwa maelfu ya tani. Tayari Zambia imetangaza utayari wake kuuza mahindi kwa wingi kwenye soko la Kenya ambalo lipo tayari siku nyingi baada ya kiangazi.

Wakati wengine wananuna na kuishi kimajungu majungu, wenzao wanaona fursa za kibiashara na kuzichangamkia. Wazambia watatengeneza hela kwa kwenda mbele....
--------------------------------------------------------------------------------
A delegation of grain traders and other stakeholders from Kenya is expected in Zambia this week to begin talks on the possible importation of maize, a senior Zambia government official said on Tuesday.

Minister of Finance Felix Mutati said the delegation is expected to hold talks with the Zambian government authorities for the importation of maize into the east African nation.

He told reporters during a press briefing that the delegation has already indicated that the maize is required in August and September this year.

But he could not state the tonnage of maize required, saying it will form part of the discussions.

“However the biggest challenge is how do we transport this maize to Kenya. Is it by rail or road because we will have to find the solutions to these and other challenges,” he said.

The Zambian minister said east Africa has now been identified as a big market for the country’s maize as well as the Democratic Republic of the Congo, adding that the private sector should also explore these markets.

Zambia has produced 3.6 million tonnes of maize during the 2016/2017 farming season and with the country’s consumption estimated at between 1.4 million tonnes and 1.5 million tonnes, the country has excess maize for exports.

The government has since lifted a ban on maize exports to encourage exports.
Coastweek - The most from the coast
Tanzania imekubali hayo mahindi yapite trhough its territory? Kwa sababu nilisikia Kenya mmeiandikia serikali ya Tanzania kuomba hayo mahindi yanayotoka Zambia yapite Tanzania.
Tanzania ikakataa, making the whole deal very expensive for you.
Shida yote hiyo ya nini? Nunueni tu unga processed from TZ!
 
Unga processed mtatoa wapi wakati na nyie hamna mahindi ya kutosha, waziri mkuu wenu alinukuliwa akisema Tanzania kanda ya kati hamna chakula cha kutosha hivyo ndio sababu hamtaki kuuza nje. Pia tumeona mwaka huu mumefuata mahindi Malawi kimya kimya ila mkanyimwa.

Hilo la kutumia Tanzania kupitiza mahindi tumeliomba maana lina mantiki kijiografia, lakini kama vipi mkijawa na majungu na kuzuia, basi tutapita kwengine maana hela tunazo. Nyie ni watu mliojawa na chuki na majungu ya ovyo, nilikua nawaza nini kinasababisha Mrundi au Mnyarwanda atumie njia ndefu ya kupitia Uganda hadi afike Mombasa ilhali hapo anaweza katiza tu na kutinga bandari ya Dar, nimeanza kupata jibu.
 
Wanunue pia na gesi ya kuupikia huo unga pia! Hawa jamaa wameshikwa papaya sana, hili lilishaonekana mapema na wahenga. Nchi za kiafrika zikiishika falsafa ya kibepari patachimbika sana, ubinafsi tu. Haya bepari mgeni Tz kwa kasi ya ajabu anakuja, mtakiona kilichomnyoa kanga manyoya.

Mwalimu alisema, ubinafsi ni dhambi. Mmetufundisha, tunafundishika now.
 
Unga processed mtatoa wapi wakati na nyie hamna mahindi ya kutosha, waziri mkuu wenu alinukuliwa akisema Tanzania kanda ya kati hamna chakula cha kutosha hivyo ndio sababu hamtaki kuuza nje. Pia tumeona mwaka huu mumefuata mahindi Malawi kimya kimya ila mkanyimwa.

Hilo la kutumia Tanzania kupitiza mahindi tumeliomba maana lina mantiki kijiografia, lakini kama vipi mkijawa na majungu na kuzuia, basi tutapita kwengine maana hela tunazo. Nyie ni watu mliojawa na chuki na majungu ya ovyo, nilikua nawaza nini kinasababisha Mrundi au Mnyarwanda atumie njia ndefu ya kupitia Uganda hadi afike Mombasa ilhali hapo anaweza katiza tu na kutinga bandari ya Dar, nimeanza kupata jibu.
Hapana, Tanzania mahindi ni chakula kikuu lakini si cha pekee. Kukosa mahindi hakumaanishi mtama, mpunga havijavunwa. Pia, mikoa mitano inailisha nchi nzima. Nayo huko mavuno ni mengi kupitiliza kwa mwaka huu, mkoa wa Pwani debe linauzwa 5000 na hata chini ya hapo.
 
Unga processed mtatoa wapi wakati na nyie hamna mahindi ya kutosha, waziri mkuu wenu alinukuliwa akisema Tanzania kanda ya kati hamna chakula cha kutosha hivyo ndio sababu hamtaki kuuza nje. Pia tumeona mwaka huu mumefuata mahindi Malawi kimya kimya ila mkanyimwa.

Hilo la kutumia Tanzania kupitiza mahindi tumeliomba maana lina mantiki kijiografia, lakini kama vipi mkijawa na majungu na kuzuia, basi tutapita kwengine maana hela tunazo. Nyie ni watu mliojawa na chuki na majungu ya ovyo, nilikua nawaza nini kinasababisha Mrundi au Mnyarwanda atumie njia ndefu ya kupitia Uganda hadi afike Mombasa ilhali hapo anaweza katiza tu na kutinga bandari ya Dar, nimeanza kupata jibu.
Hatujasema kwamba hamwezi kununua kwingine. Ila mtanunua kwa gharama kubwa zaidi. Serikali yenu itakuwa inatumia hela nyingi per capita kuwalisha watu wenu. Nimesoma juzi wakenya mshaanza kupanga foleni kupewa unga. How long before you break?
Cha muhimu hapa ni kuafikiana kama majirani tumalize huu utata. Nunueni unga wa Tanzania kwani mtakufa? Tatizo la nchi nyingi za Afrika ni kuzalisha the same product hence unnecessary competition.
 
Nimekuambia huo unga haupo kwenu maana hata nyie mna matatizo ya mahindi, mnafuata hadi Malawi.

Halafu drought is a temporal situation, we will be back on our feet. Our per ca pita consumption is 90 kilograms, yet we do produce 40 million 90-kilogram bags of maize annually when all is well.
 
Hatujasema kwamba hamwezi kununua kwingine. Ila mtanunua kwa gharama kubwa zaidi. Serikali yenu itakuwa inatumia hela nyingi per capita kuwalisha watu wenu. Nimesoma juzi wakenya mshaanza kupanga foleni kupewa unga. How long before you break?
Cha muhimu hapa ni kuafikiana kama majirani tumalize huu utata. Nunueni unga wa Tanzania kwani mtakufa? Tatizo la nchi nyingi za Afrika ni kuzalisha the same product hence unnecessary competition.

Itakuwa more costly but not to extent that will it will cripple the country's finances. The cost isnt that big. For a long time, kenya imekuwa ikinunua mahindi from other places apart from Tanzania.

This mahindi, jinsi ilivyo ni source of income to many, tukianza kununua unga, yes tutakufa.
 
Plan to import Zambian maize to Kenya in limbo

SATURDAY JULY 1 2017

Kenya’s efforts to import maize from Zambia through Tanzania are now at risk due to a trade dispute between Nairobi and Dar es Salaam.

Kenya said it was talking with Dar es Salaam to open its border for the maize from Zambia just a day after President John Magufuli administration banned the grain’s exports — to protect its limited stocks.

Last week, the two countries effected exports ban on several products, further escalating their trade differences.

“The current trade differences that have seen several goods banned from trading across-borders by both countries has now complicated these negotiations,” a senior Kenyan government official told The EastAfrican.

“It is our hope that they will consider our request to allow for the maize we are trying to import from Zambia,” the source added.

On Monday, Tanzanian Prime Minister Kassim Majaliwa banned grain exports to rein in the rising local prices, while also encouraging local processing of the cereals into flour.

“From today onwards, it is strictly prohibited for anyone to export food crops. The move is aimed at encouraging the construction of food processing industries in the country. Anyone who is arrested trying to smuggle food out of the country will have both his consignment and the vehicle used in the smuggling operation nationalised,” Mr Majaliwa said.

READ: Tanzania bans export of unprocessed grains

Kenya’s Director of Crops at Ministry of Agriculture Johnson Irungu had earlier said that the country was in talks with Dar to allow for the passage of the grains.

“Our Foreign Affairs Ministry is in talks with Tanzania to allow maize coming in from Zambia to pass through their country,” said Dr Irungu.

While Kenya’s Foreign Affairs Ministry declined to divulge details of the talks, it is understood that Nairobi had tasked its diplomats in Dar to secure permission for the cereals to pass through the country.

Longer route

Zambia had agreed to sell to Kenya 55,000 tonnes of white maize, with its Finance Minister Felix Mutati on Tuesday saying that they will open talks with Kenyan and grain traders for the export of maize.

“This week we will be having colleagues from Kenya interested in maize imports. The biggest challenge is how we get this maize to Kenya at a competitive price. This year we produced about 3.6 million tonnes of maize and had a surplus of 1.4 million tonnes, which was available for export,” Mr Mutati said.

If Dar es Salaam remains adamant, Kenya will be forced to use a longer route through Democratic Republic of Congo and Uganda. The other possible longer route would be through Malawi, which has an export ban, through to Mozambique and to Mombasa via the Indian Ocean.

Kenya is suffering from an acute shortage of grain following a poor harvest last year resulting from erratic rains experienced during the planting season in 2016. The country normally imports grain from Uganda and Tanzania to plug the deficit. Last year, Tanzania exported more than 1.5 million tonnes of cereals to neighbours.

However, it is also facing shortages of its own despite producing around three million tonnes of surplus food in the 2015/16 harvest season, blaming it on unregulated exports that has affected food reserves.

READ: Uganda to stop export of unprocessed cereals to EA

In its previous shortages, Kenya relied on Malawi and Zambia. The two countries had also banned export of the grain but Zambia just lifted the ban last month to allow for the sale of its surplus, after production rose to 3.61 million tonnes in 2016/2017 from 2.87 million the previous season.

Uganda harvest

Last month, Kenya turned to Uganda, importing more than 45,000 tonnes as at Friday, totalling $26.3 million, data from the Regional Agriculture Trade Intelligence Network (RATIN) shows.

A November 2016 Uganda analysis by the United Nations food agency, Food and Agriculture Organisation (FAO) showed that the country was expected to have a projected harvest of 3.4 million tonnes in 2016, with a surplus of 200,000 bags, which was expected to be available for exports to neighbouring countries including Kenya, South Sudan and Rwanda.

These imports by Kenya, however, seems to be too slow to demand, as the country has managed to import a total of 158,000 tonnes, against a monthly consumption of 270,000 tonnes.

Last month, Nairobi imported a consignment of 30,000 metric tonnes of maize from Mexico via South Africa, in a bid to reduce the price of maize, its staple food, which had reached a high of $1.8 for a two kilogramme packet.

Kenya has introduced $60 subsidy meant to lower the price of a 90 kg bag of maize to $23 from the current $40, allowing the 2kg packet of flour to sell for $0.9.

Plan to import Zambian maize to Kenya in limbo
 
Hawa watu wapuuzi kweli, yani wamekomaa kulima maua badala ya kulima mahindi wale

Mnafaa mlime mahndi nyie halafu tule sisi maana hela za maua tunazo nyingi.
 
Sasa mtakula hizo hela [emoji2]

Ukiwa na hela zinakupa uhuru wa kuchagua unachotaka kula. Ukiishi kwa kula ugali na mahindi pekee yake utaugua ukambi, hivyo hela ni muhimu ili ununue mengineyo.
 
Na viwavi vilivyoshambulia mashamba mtahangaika sana na mahindi msilete kejeli yakiisha Zambia mahindi mtarudi bongo
Tutarudi bongo kuwamsha, kwa sababu mnakuanga usingizi nyakati zote
 
Back
Top Bottom