Tuko hukuSheria za Olimpiki za Tokyo zinasema kwamba ili mwanariadha kufuzu kuenda Tokyo itabidi akimbie 100 metres chini ya sekunde 10.05. Wakenya wawili wamefikisha muda huo. Yaani kuanzia marathon hadi 100 metres this time tunajaza nafasi kote kote. Malazy endeleeni kulala
Ugandans wako sawa,kuna vijana wamechukua medals kadhaa wa kule. Na hivyo ndivyo inafaa, EA kutambulika, ila kuna wenzetu wamebobea kula chipsi mayai, sijui tutawasaidia vipi? π π πNimeiona Mganda Mwanamke Waku Sprint,Amekimbia akiwa Nyuma ya watu wengine akawapita ka Ndege,mpaka mtu aliekuwa kwa Mike Akasema Woooowπ₯π₯Yani ilibaki tu kidogo hivi Ashinde Mkenya,Ugandans are upcomingπ₯π₯
Na kubana pua ka lips denda(Mondi)! π¬π¬π¬Wazee wa Baikoko wanaendelea kunengua viuno.... Haya mambo yalishawagomea.
Unaleta mambo ya innovations hapa, juzi sikukupa kionjo of what Kenyan youths are into? Hizo ma awards unaonyesha hapo, huku vijana wa UoN na JKUAT wamezizoea. βοΈTuko huku
Tanzania: Zabuni app shaking up procurement landscape - The Africa Report.com
Zabuni, a free procurement app, is transforming the tenders landscape in Tanzania, broadening supplier participation due to an increased supply of data.www.theafricareport.com
5 African startups secure $5k grant funding each from SAIS, Seedstars
0
BY TOM JACKSON ON JUNE 8, 2021
Five African startups have been awarded US$5,000 each in grant funding from the Southern Africa Innovation Support programme and Seedstars after completing the Investment Readiness Programme.
Run by Southern Africa Innovation Support and Seedstars, the Investment Readiness Programme 2019-2020 selected 15 startups with SDG-focused tech solutions and provided them with tools and knowledge that brought their solutions closer to being investment-ready.
The programme has a focus on 10 countries, namely Botswana, Namibia, South Africa, Tanzania, Zambia, Angola, Democratic Republic of Congo (DRC), Malawi, Mauritius, and Mozambique.
It was then followed by the Investor Roadshow, where the participating startups had the opportunity to present their companies and meet with investors. Five startups were then selected to receive the US$5,000 grant, sponsored by SAIS.
The five startup recipients were Zambian fintech startup Mangwee, Tanzanian FMCG distribution platform SUMET, Mozambican city planner app UBI, South African legal information service Luma Law, and th DRC-based Astech-Congo, which allows users to stay connected to their school or university.
Tanzanian Agritech startup wins the 2020 MEST Africa Challenge -
Kilimo Fresh, a Tanzanian Agri-tech startup has won the 2020 MEST Africa Challenge. The startup distributes high quality and organic food to businesses.ventureburn.com
And here comes Tanzaniaβs newest billionaire
At 35 years, Andron Mendes has become Tanzaniaβs latest billionaire with a big dream to change the lives of millions of people in Africa.www.thecitizen.co.tz
Smart Codes and five others now form Smart Code Africa Group
A digital transformation firm, Smart Codes, has joined hands with five sister companies to form an umbrella company which, it said, will help to drive digital services.www.thecitizen.co.tz
Hao jamaa nawaaminia, wacha tuone potential yao, hiyo 100m kwanza tunafaa ku motivate vijana wajaribu sana, atleast idadi iongezeke kwa hiyo category.Sheria za Olimpiki za Tokyo zinasema kwamba ili mwanariadha kufuzu kuenda Tokyo itabidi akimbie 100 metres chini ya sekunde 10.05. Wakenya wawili wamefikisha muda huo. Yaani kuanzia marathon hadi 100 metres this time tunajaza nafasi kote kote. Malazy endeleeni kulala
Huyo Wamanyala ni wazimu. Naona akifika semi finals au hata finals. His fastest time is 10.01 seconds. Na ako very consistent. He will motivate younger boys to take up this sport.Hao jamaa nawaaminia, wacha tuone potential yao, hiyo 100m kwanza tunafaa ku motivate vijana wajaribu sana, atleast idadi iongezeke kwa hiyo category.
hongereni mbio za masafa sasa mmeona mmetosha mmeenda na kuwachachafya wajamaica na wamerkani sasaSheria za Olimpiki za Tokyo zinasema kwamba ili mwanariadha kufuzu kuenda Tokyo itabidi akimbie 100 metres chini ya sekunde 10.05. Wakenya wawili wamefikisha muda huo. Yaani kuanzia marathon hadi 100 metres this time tunajaza nafasi kote kote. Malazy endeleeni kulala
Wewe mbona kama mtu wa Tanga hivi...πππWazee wa Baikoko wanaendelea kunengua viuno.... Haya mambo yalishawagomea.
Duh hongera kwenye kufukuza upepo hatuwawezi...ila nimeku-mind kutuita malazy kenge we! πππSheria za Olimpiki za Tokyo zinasema kwamba ili mwanariadha kufuzu kuenda Tokyo itabidi akimbie 100 metres chini ya sekunde 10.05. Wakenya wawili wamefikisha muda huo. Yaani kuanzia marathon hadi 100 metres this time tunajaza nafasi kote kote. Malazy endeleeni kulala
Hizi ma record ziliwekwa za 100m zinafaa kuvunjwa bhana! π€£ π€£ π€£Huyo Wamanyala ni wazimu. Naona akifika semi finals au hata finals. His fastest time is 10.01 seconds. Na ako very consistent. He will motivate younger boys to take up this sport.
πDuh hongera kwenye kufukuza upepo hatuwawezi...ila nimeku-mind kutuita malzay kenge we! πππ
Kama hujawahi kufanya jambo na jirani yako ameweza basi mpongeze. Usiwe unasema kwamba ni jambo rahisi ilhali nyinyi mumeshindwa kulifanya. Kama ni jambo dogo mbona nyinyi mumeshindwa kulifanya?Hili nalo jambo la kuanzisha thread!?
Yani mtu kwenda Japan ndio unaanzisha thread!!?
Mungu wangu.
Haha[emoji23][emoji23][emoji23] huku tulishindwaga kitambo sana dah![emoji23][emoji23]Wazee wa Baikoko wanaendelea kunengua viuno.... Haya mambo yalishawagomea.