Unajua kama Binadamu nadhani tumerudi nyuma sana ki-fikra...
Pesa ni nini ? Kila mtu anaweza kupata pesa ila sio kila mtu anaweza aka-excel kwenye trade yake..., ingekuwa pesa unaweza kununua talanta wangapi wangekuwa kama Hussein Bolt, wangapi wangeweza kutengeneza nyimbo kama Michael Jackson..., wangapi wangeweza kufikiria mpaka kugundua nishati inaweza kupatikana kwenye sumaku na wire ?
Pia mtu pekee asiye na pesa ndio anadhani pesa ni be it end all... yaani ndio destionation ya matatizo, ila kumbe the only drive ya binadamu ni PURPOSE..., huyu jamaa huenda purpose yake ni siku moja ashinde medani kubwa katika mashindano makubwa (hilo ndio linalomfanya aamke asubuhi na kufanya zoezi mpaka usiku); Sio mbaya kama motivation yako ni pesa ila utagundua kwamba its just an illusion and you might end up being in a RAT RACE (Ushauri do what you love / like); You will lead a happier life...