Wakenya wawili wamequalify kuenda Tokyo Olympics kukimbia mbio za 100 metres

Wakenya wawili wamequalify kuenda Tokyo Olympics kukimbia mbio za 100 metres

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lkn sio hao wakipimbiaji hata matiti yameflat, too skeleton unabinjua wapi?
Bora kupiga na sabuni
Heri hivyo vyao utavisugua kitaanza kuota, sasa wewe na punyeto yako utafanya kampuni za sabuni zikupe promo la kufa mtu! 😬😬😬
 
Hizo False start wajifunze..., wasije wakaleta usumbufu huko Tokyo..., Niki-tune TV yangu nataka smoothness sio marudio marudio
 
Sheria za Olimpiki za Tokyo zinasema kwamba ili mwanariadha kufuzu kuenda Tokyo itabidi akimbie 100 metres chini ya sekunde 10.05. Wakenya wawili wamefikisha muda huo. Yaani kuanzia marathon hadi 100 metres this time tunajaza nafasi kote kote. Malazy endeleeni kulala

Hiyo ni nafasi ya wajmaica na wamrekani na kwa adrika Nigeria ninyi mbaki na mbio.ndefu za kutumia madawa ya kienyeji ya kikikuyu ambayo wazungu wameshindwa kuyaona kwenye damu
 
Hiyo ni nafasi ya wajmaica na wamrekani na kwa adrika Nigeria ninyi mbaki na mbio.ndefu za kutumia madawa ya kienyeji ya kikikuyu ambayo wazungu wameshindwa kuyaona kwenye damu
Inaitwanga Musik🔥🔥 Ukikunywa Unaweza pambana mpaka na Simba,Kama Waturukana wanavyo pambana na Ndege na Vifaru🤣Don't Joke
 
Wakimbizi wote wako hivo😃Na ambaye hayuko hivo hawezi kushinda,Kama mkimbizi wenu anayeitwa Motokaa🤣🤣🤣🤣🔥
Sasa tutawafundisha kiswahili kwa nguvu hata kama hamtaki wakimbizi kizungu ni Refugee hapo ulitakiwa kuandika wanariadha
 
Hizo False start wajifunze..., wasije wakaleta usumbufu huko Tokyo..., Niki-tune TV yangu nataka smoothness sio marudio marudio
Ni Waganda ndio walikuwa wanafanya false starts. Hata mmoja alitolewa kabisa
 
Back
Top Bottom