Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Millionaire 🤣 🤣🤣chinike!!!Wewe miguu yako minene imekusaidia nini maishani? Angalau yeye miguu yake nyembamba imemfanya awe millionaire.
Unajua kama Binadamu nadhani tumerudi nyuma sana ki-fikra...Millionaire 🤣 🤣🤣chinike!!!
Ndio mnavyodanganyana mkiwa kibera mnavuta harufu za flying toilets!!?
Michezo ya kukimbia ni primitive sports. Ni ya wale wenye akili za animals pekee watapigia kelele.
Huwezi kumuona mwenye pesa anakimbia kimbia ovyo kama zinjathropus
Talanta ni nini!?Unajua kama Binadamu nadhani tumerudi nyuma sana ki-fikra...
Pesa ni nini ? Kila mtu anaweza kupata pesa ila sio kila mtu anaweza aka-excel kwenye trade yake..., ingekuwa pesa unaweza kununua talanta wangapi wangekuwa kama Hussein Bolt, wangapi wangeweza kutengeneza nyimbo kama Michael Jackson..., wangapi wangeweza kufikiria mpaka kugundua nishati inaweza kupatikana kwenye sumaku na wire ?
Pia mtu pekee asiye na pesa ndio anadhani pesa ni be it end all... yaani ndio destionation ya matatizo, ila kumbe the only drive ya binadamu ni PURPOSE..., huyu jamaa huenda purpose yake ni siku moja ashinde medani kubwa katika mashindano makubwa (hilo ndio linalomfanya aamke asubuhi na kufanya zoezi mpaka usiku); Sio mbaya kama motivation yako ni pesa ila utagundua kwamba its just an illusion and you might end up being in a RAT RACE (Ushauri do what you love / like); You will lead a happier life...
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Dar sisi Watanzania tupo nyumaUgandans wako sawa,kuna vijana wamechukua medals kadhaa wa kule. Na hivyo ndivyo inafaa, EA kutambulika, ila kuna wenzetu wamebobea kula chipsi mayai, sijui tutawasaidia vipi? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
"zinjathropus"... Naona leo umekumbuka asili yako na wabongo wenzako. Nimekumbuka wale nyani wa kwanza EA, waliokuja kuwa watu wa sahi huko Bongo, waligunduliwa Tz! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Millionaire 🤣 🤣🤣chinike!!!
Ndio mnavyodanganyana mkiwa kibera mnavuta harufu za flying toilets!!?
Michezo ya kukimbia ni primitive sports. Ni ya wale wenye akili za animals pekee watapigia kelele.
Huwezi kumuona mwenye pesa anakimbia kimbia ovyo kama zinjathropus
Mpo nyuma ya nini!? Na mnafanya nini!?[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Dar sisi Watanzania tupo nyuma
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
Nani alikuambia asili yetu ni zinjathropus!?"zinjathropus"... Naona leo umekumbuka asili yako na wabongo wenzako. Nimekubuka wale nyani wa kwanza waliokuja kuwa watu wa sahi waligunduliwa Tz! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Natural aptitude / skill;Talanta ni nini!?
Serikali yenyu inafaa kumchangamsha waziri wa michezo, sio kulala lala kazini. Aingie mikoani, kuwe na competition ya michezo kadhaa wa kadhaa ndani ya kila mkoa, kuwe na vizawadi vya kutia watu motisha pia, kila mkoa unatoa best candidates of different categories in sports, Alafu kunafanywa National team selection, hapo ni kushindana kufa mtu, mnachukua only the best of the best, no compromises... You'll see changes bro![emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Dar sisi Watanzania tupo nyuma
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
Mzee nimekuuliza swali fupi tu unaanza kuleta mbwembwe na kuhepa.Natural aptitude / skill;
Ingawa talent inaweza ikawa acquired, ila talent bila practice na kuikuza its nothing.... (through hard work / practise one acquires skills)
Unasemaje Homo Habilis? 😂 😂 😂Nani alikuambia asili yetu ni zinjathropus!?
Duh hata kuona huwezi...Mzee nimekuuliza swali fupi tu unaanza kuleta mbwembwe na kuhepa.
Talanta ni nini!?
Kazi bure kumueleza, haelewagi huyo, pyuu! 🤣Duh hata kuona huwezi...
Talent; Natural Aptitude or Skill
Na nimekueleza zaidi ingawa talent ni natural inaweza ikawa acquired pia
Homo habilis ni nini kwa kiswahili!?Unasemaje Homo Habilis? 😂 😂 😂
Tumbiri asiye akili timamu! 😬😬😬Homo habilis ni nini kwa kiswahili!?
Mzee ukiulizwa maana ya kitu unaandika kwa lugha nyingine!!?Duh hata kuona huwezi...
Talent; Natural Aptitude or Skill
Na nimekueleza zaidi ingawa talent ni natural inaweza ikawa acquired pia
Tumbiri ni lugha ya wakikuyu au kikamba!?Tumbiri asiye akili timamu! 😬😬😬
Mkuu unanilipa ? Naona unanipangia hadi jinsi ya kujibu, huenda wewe una muda zaidi yangu kwahio kuendelea kurudia rudia wakati jibu nikupotezeana muda (wako na wangu) hata kama wewe muda wako hauujaliMzee uliulizwa maana ya kitu unaandika kwa lugha nyingine!!?
Nataka uniambie talanta laana yake kwa kiswahili.
Talanta ni nini!?
Wewe ni mbumbumbu.Mkuu unanilipa ? Naona unanipangia hadi jinsi ya kujibu, huenda wewe una muda zaidi yangu kwahio kuendelea kurudia rudia wakati jibu nikupotezeana muda (wako na wangu) hata kama wewe muda wako hauujali
Kweli huna akili tofauti ya Talent na Talanta ni nini ?Wewe ni mbumbumbu.
Nimekuuliza talanta ni nini!? Unata nikulipe!!! 😡 😡😡 ebo.
Unaandika andika tu maneno bila kujua maana yake.
Kukimbia na talanta wapi na wapi!?
Neno talanta limetajwa kwenye biblia. Halihusiani na kukimbia. Wewe ni mbumbumbu na kipofu.